Ha ha ha, mi niliondoka walivyoanza kuchangisha michango ya kwaya.
Najitahidi kutafuta hata story ya kutunga tu ili nianzishie thread 'Cheat-Chat' lakini zote zinakataa. Huwa sina raha kabisa nikimaliza siku mbili bila kupost kitu.
tukafanye nini kanisani?Nalog offwaislamu mnaenda kanisani siku hizi?