Nianze na kuku wa aina gani kwa mtaji wa Tshs 400000

Kubwa la kujifunza ni namna ya kulea vifaranga. Mwezi uliopita nimepoteza takribani vifaranga 35, iliniuma sanaaaa! Mwisho niligundua makosa yangu kwani niliwatenga na mama zao mapema mno wiki 2 hivi nikawaweka kwenye box huku niwawashia chemli.
Mimi sihangaiki kuwatenga. Wacha wakae nao, kama unawalisha vizuri kuku hawachelewi kuanza kutaga tena na akishaanza kutaga lazima awaache tu hao wengine. Heri risk ya kuku kukaa na vifaranga akachelewa kurudia round kuliko kuwatenga mapema kabla manyoya hayajaota vizuri.
 
Ma
Kubwa la kujifunza ni namna ya kulea vifaranga. Mwezi uliopita nimepoteza takribani vifaranga 35, iliniuma sanaaaa! Mwisho niligundua makosa yangu kwani niliwatenga na mama zao mapema mno wiki 2 hivi nikawaweka kwenye box huku niwawashia chemli.

Ushauri kama huu unatia moyo sana
 
Kweli kabisa! Nilishawahi waacha na mama zao kabla ya hao waliokufa hakika zaidi ya robo tatu wapo mpaka sasa na umri wa miezi mitatu na ndio wanaoniaminisha kwamba mafanikio yanaweza kupatikana.
 
Kweli kabisa! Nilishawahi waacha na mama zao kabla ya hao waliokufa hakika zaidi ya robo tatu wapo mpaka sasa na umri wa miezi mitatu na ndio wanaoniaminisha kwamba mafanikio yanaweza kupatikana.
Pole sana mkuu
 
Kama mazingira ya kutunzia vifaranga na baadaye kuku unayo tayari. Nunua vifaranga 100 kwa lak2 vifaranga vya kienyeji ambavyo havina usumbufu. Mimi nitakusupply kwa 170000. Utabaki na 230000 hii iwe mtaji wa kulisha na madawa for the first time. Tunza kwa miezi 4 afu uza. Inategemea uko wapi pia
 
Uko wapi mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…