labda nisiwe mimiWewe cha kufanya weka hesabu katika round figure. Kibinadamu, mpatie hela chace sana ya kula. Ikiwa ulimkopesha 80, mkopeshe nyengine 20 ili iwe unamdai laki moja. Wakati unampa hizo 20 mwambie - 20 hizi na zile 80 itakuwa ninakudai laki moja, naomba unilipe baada ya mwezi. Ikitimia mwezi, mkumbushe. Kama hatokulipa, angalau atawacha kukufanya shamba la bibi na atakuwa anakukimbia.
Hapo mkuu umenenaKibinadamu, mpatie hela chache sana ya kula. Muambie kuwa na wewe umechacha. Cha kufanya ni kuweka hesabu katika round figures. Ikiwa ulimkopesha 80, mkopeshe nyengine 20 ili iwe unamdai laki moja. Wakati unampa hizo 20 mwambie wazi- 20 hizi na zile 80 itakuwa ninakudai laki moja, naomba unilipe baada ya mwezi kwani na mimi niko taabani. Ikitimia mwezi, mkumbushe. Kama hatokulipa, angalau atawacha kukufanya shamba la bibi na atakuwa anakukimbia. Ukimnyamazia atakuzowea mwisho unaweza kujikuta unalipwa "fadhila" badala ya pesa.
Umekusudia nini? Usingemkopesha tena au vipi?labda nisiwe mimi
we uko ka mie nikikopesha mtu cwez kumfata fata kunilipa so kukwepa hayo siku izi ckopeshi mtu labda nimpe tu bila malipo mana cwez kudai......natamani kweli niwe bandidu na mm mtu akinikopa namvaa anilipe mkavumkavu lkn cwez ............so pole sanaWadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko fresh financialy basi jioni anione nimkopeshe kama elfu 50,maana anadai ana pesa ya kula leo na kesho tu, amenisisitzia hata ka sina nimfanyie maarifa hata kwa kumkopea kwa marafik zangu ili apate pesa ya kusurvive atleast kwa wiki 2,sa najiuliza deni langu la nyuma hajanilipa na wala hajawahi kuliongelea,afu bado anataka nimkopeshe tena,kikwel pesa ya kuweza kumsaidia ninayo bt nahofia isije ikawa bad debts,sa wakubwa mnanishaurije nimsave au nimpotezee,maana sijamjibu chochote hadi sa hvi na nitumie kaujanja gani kumkumbushia lile deni la nyuma pasipo kumfanya ajisikie vibaya?
Wadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko fresh financialy basi jioni anione nimkopeshe kama elfu 50,maana anadai ana pesa ya kula leo na kesho tu, amenisisitzia hata ka sina nimfanyie maarifa hata kwa kumkopea kwa marafik zangu ili apate pesa ya kusurvive atleast kwa wiki 2,sa najiuliza deni langu la nyuma hajanilipa na wala hajawahi kuliongelea,afu bado anataka nimkopeshe tena,kikwel pesa ya kuweza kumsaidia ninayo bt nahofia isije ikawa bad debts,sa wakubwa mnanishaurije nimsave au nimpotezee,maana sijamjibu chochote hadi sa hvi na nitumie kaujanja gani kumkumbushia lile deni la nyuma pasipo kumfanya ajisikie vibaya?
Mwambie akope kny ike 80 uliyompaga!
Unajua nyie watu wengine wa ajabu sana! Haya maelezo yako ni nusu, hujatuambia unafeel nini kwa huyo dada mpk ushindwe kujua namna ya kudai fedha zako. Kwa kifupi tu huyo mwanadada keshakuona 'mwepesi' wa kukolea maneno kiasi unaweza kukopa ili umpe yeye. Na kama ni wa karibu basi ujue kutongoza sio mpk ulazimishwe kwa mikopo, ANAKUTAKA au ANAKUBANDUA kidogo kidogoWadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko fresh financialy basi jioni anione nimkopeshe kama elfu 50,maana anadai ana pesa ya kula leo na kesho tu, amenisisitzia hata ka sina nimfanyie maarifa hata kwa kumkopea kwa marafik zangu ili apate pesa ya kusurvive atleast kwa wiki 2,sa najiuliza deni langu la nyuma hajanilipa na wala hajawahi kuliongelea,afu bado anataka nimkopeshe tena,kikwel pesa ya kuweza kumsaidia ninayo bt nahofia isije ikawa bad debts,sa wakubwa mnanishaurije nimsave au nimpotezee,maana sijamjibu chochote hadi sa hvi na nitumie kaujanja gani kumkumbushia lile deni la nyuma pasipo kumfanya ajisikie vibaya?