Niambie huyu mwanafunzi kabila gani?

Niambie huyu mwanafunzi kabila gani?

Winor_224

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
25
Reaction score
10
Mwalimu:Tunga sentensi kwa kutumia neno "tumaini"

Mwanafunzi:Tumaini twa kuku tutamu kuliko tule twa mbuzi..!
 
Mwakeye, HUYO NI MUHA WA HAPA KIBONDO KIGOMA, "Ingo, muhira wachu ni hehe?"
"Njoo, nyumbani kwenu ni wapi?"
CHEZEA KIGOMA, WALI MAHARAGE NA MAWESE BILA NYANYA.
 
Back
Top Bottom