niaje wazee wa jamvi jaman naombeni kujua nimesikia kuwa alama ya ufaulu umebadilishwa ni kwelii???

duh,,,ndo habari zilizozagaa ata uku kwetu tunaomba mcomfirm mliopata taarifa sahihi

Baraza la mitihani limeshakanusha kuwa taarifa hizo za mabadiliko zilizotolewa na baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii ni za UONGO na zimelenga kupotosha jamii na kuleta taharuki kwa watanzania, na limewataka watanzania kuzipuuza.
 
Back
Top Bottom