yuko fit kwa style zote kuliko hata wale wembamba, anaonekana anapiga gmy sana. Hujawah ona wanaume anamke mzuri wa shepu, sura na tabia ila akipelekeshwa na jidada kama huyu hakumbuki home kabisa coz wife home hawezi fanya za kichina china hwaa huuu!!
moral of the story, wife at home msifanye diet na mazoezi kupungua hapana tengeneza mbinu za kutoa penzi na uwe flexible kupindika vyovyote hata kama uko bonge kuliko hao wa nje coz hata ukipungua lakini huna pumzi za msamba na kichina china bado akikutana na wanaojituma umetoswaa!! married woman ukijituma utaona mwenyewe atakuwa anarudi ndani na safari za nje zitapungua. Trust me married woman.