Kama una mtaji wa kutosha chukuwa mzigo ulete bongo watu watalipa fully [emoji817]Unalipia 50% kabla then ukishapokea mzigo wako unamalizia 50% lengo la kufanya hivyo ni kuepuka usumbufu Wa wateja ambao hawapo serious,kama mtu anajua kalipia pesa hatachukua mda mwingi kufata mzigo wake,Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
1250, 000 nakuletea kinanda kama hicho kama uko seriously inbox me, cash on deliveryView attachment 1076170
KINAITWA YAMAHA ELECTONE MODEL: EL 90 VIPO VINGI SANA USED UK. TAFUTA UKIPATA NITUMIE INBOX PROFOMA IVOICE MAPEEMA TUFANYE MAMBO