success future
Member
- Apr 16, 2019
- 7
- 9
Asante mkuuKwahivyo wewe baada ya kukata kata vitunguu huko na kuosha vyombo unajivunia kuifanya nchi yako jalala la kutupa hayo matakataka waliyotumia na kujambia hao wakoloni. Pumbavu
Unalipia 50% kabla then ukishapokea mzigo wako unamalizia 50% lengo la kufanya hivyo ni kuepuka usumbufu Wa wateja ambao hawapo serious,kama mtu anajua kalipia pesa hatachukua mda mwingi kufata mzigo wake,Asante
Hebu kuwa mkweli mzigo siku 10 ,labda kwa ndege ,Je mizigo mikubwa inayokuja kwa MelissaHABARI WAKUU.TUNASUPPLY SECOND HAND ITEMS AINA ZOTE MF ELECTRONICS,KITCHEN EQUIPMENTS,VIFAA VYA OFISINI,VIFAA VYA MAZOEZI NK
UNATOA ORDER THEN BAADA YA SIKU 10 UNAPOKEA MZIGO WAKO
NOTE:BIDHAA HIZI NI SECOND HAND LAKINI ZIPO KTK GOOD CONDITION
0659965555 WHATSUP
View attachment 1073647View attachment 1073648View attachment 1073649View attachment 1073650View attachment 1073662View attachment 1073670View attachment 1073674View attachment 1073672
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigo unakuja Kwa ndege mkuu that's why unaishi kufikaHebu kuwa mkweli mzigo siku 10 ,labda kwa ndege ,Je mizigo mikubwa inayokuja kwa Melissa
Mimi nataka samsung S7 bei ganiHABARI WAKUU.TUNASUPPLY SECOND HAND ITEMS AINA ZOTE MF ELECTRONICS,KITCHEN EQUIPMENTS,VIFAA VYA OFISINI,VIFAA VYA MAZOEZI NK
UNATOA ORDER THEN BAADA YA SIKU 10 UNAPOKEA MZIGO WAKO
NOTE:BIDHAA HIZI NI SECOND HAND LAKINI ZIPO KTK GOOD CONDITION
0659965555 WHATSUP
View attachment 1073647View attachment 1073648View attachment 1073649View attachment 1073650View attachment 1073662View attachment 1073670View attachment 1073674View attachment 1073672
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu haipo,miaka kama miwili hapa jf kuna mdau aliitwa KELVIN ISAYA yeye alikua uarabuni,aliliza watu sana kwa staili hii lipa 10% ya mzigo alijikusanyia hela za kutosha akasepa na helaTuwe realistic, huwezi kumunuwa fridge second hand ulitume kwa ndege..you must be mad!
Winga maana yake niniHahah ina maana hakuna alieelewa kuwa huyu jamaa winga
Mtu wa kati! Dalali tuWinga maana yake nini