Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,197
- 3,918
Kuna mtu anasubiriwa na bonge la rungu atokeze kwenye konaNdugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!
Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!
Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣
Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu
Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.
Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!
Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!
View attachment 2990271
Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!
Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!
Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!
View attachment 2990274
Sasa IQ yangu wewe inakusaidia niniIQ yako ni ndogo sana, inasikitisha sana!
Sana yaani sana...wewe baki na uzungu wakoUswahili bado umekukolea mkuu
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!
Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!
Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣
Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu
Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.
Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!
Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!
View attachment 2990271
Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!
Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!
Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!
View attachment 2990274
Nilifanya utafiti nikagundua zama za kutegemea maagent kwenye utandawazi wa kitechnolojia zimepitwa na wakati. Nilisubiri miaka 4 bila mafanikio kwa kutegemea agents.
Ili ufanikiwe ni lazima uwe na pesa hata hao maagent ni lazima utawalipa...hakuna agent atakae kusaidia Bure.
Mimi nilijipanga Nika tafuta pesa zangu mwenyewe...
Nikakata visa.. agent nilimtumia airfox safari walisimamia visa na ticket...ndege nilitumia air TanzaniA...!
Ajira nchi za falme za kiarabu zipo...ajira ni nyingi mno ila lazima utulize kichwa...! Dubai mwanamke kukutongoza ni jambo LA kawaida sana...ukiingia kichwa kichwa visa inaisha muda ukiwa hujapata chochote...!View attachment 2990343
Acha ndugu yangu warabu wameendelea pesa wanazo na wanajua jinsi ya kunitumia...,!View attachment 2995012
Kwa sababu majina yako halisi na sura yako tushaifahamu humu Jamii Forum sion maana ya wewe kutumia fake ID. Nashauri utumie majina yako halisi tena verify account yako,,,, hii itawafanya wateja wanaokuagiza bidhaa wawe na iman kwako maana wanajua at least wanadeal na mtu wanaemfaham kdogo.
Kuna mtu anasubiriwa na bonge la rungu atokeze kwenye kona
Noted...and accepted...ila Mimi Niko veryfied muda mbonaKwa sababu majina yako halisi na sura yako tushaifahamu humu Jamii Forum sion maana ya wewe kutumia fake ID. Nashauri utumie majina yako halisi tena verify account yako,,,, hii itawafanya wateja wanaokuagiza bidhaa wawe na iman kwako maana wanajua at least wanadeal na mtu wanaemfaham kdogo.
Kidogo kidogo badae unafungua kampun kabisa.
Ni USHAURI TU!!
Shukrani sana...! Usijali nitakutumiaDah
Dah mwamba Mhando siamini Kama ushaiacha ardhi ya Bibi yetu sema nini pambana bro najua soon utanenepa maana ulikonda bro kwa mawazo ya kishetani ssa usiyawaze huko bro .
Ila ukipanga kurudi niletee hata kabia ka elfu hamsini nitashukuru sana
Nitafanya hivyo ndugu yangu.. shukrani sanaTenegeneza ka group telegram au whatapp basi, share link ukipost vitu vidogo vidogo na bei zake
Shukrani...hapa ni bampa to bampa hakuna kulala Hadi kielewekeKazi ni kipimo cha utu!!
Kanyaga twende tumecheleweshwa mno kama watanganyika.
H
Hata mzungu kupata shida mkuu?
ShukraniHongera sana mkuu
Karibu sana ndugu yangu... ukipata muda tuwasiliane +971581480619mkuu mimi ni mfatiliaji wako kitambo namimi nataka nimeingia kwenye ufundi magari soon nitakuagia kamzigo kavifaa vya magari nitembeze madukani
Ndio...!Bado uko huko?
Hongera mkuu kwa safari. Bado watu wanataka kujua process ulizopitia mpaka kufika huko ili uwame motivation na wao waje huko.
Mkuu hebu naomba ufuatilie kwenye soko la dhahabu, nahitaji kujua gramu moja inauzwa kwa bei gani huko Dubai.
Vimefanyaje mkuu...au vinaongea...lugha Gani pengine🤣🤣🤣🤣Hivi Viatu 🤣🤣🤣🤣🙌
Kuna mtu anasubiriwa na bonge la rungu atokeze kwenye kona
Kwamba akili yako ndio imefika mwisho wa kufikiri?
Kwa sababu majina yako halisi na sura yako tushaifahamu humu Jamii Forum sion maana ya wewe kutumia fake ID. Nashauri utumie majina yako halisi tena verify account yako,,,, hii itawafanya wateja wanaokuagiza bidhaa wawe na iman kwako maana wanajua at least wanadeal na mtu wanaemfaham kdogo.
Kidogo kidogo badae unafungua kampun kabisa.
Ni USHAURI TU!!
Nmeona asee😀😀😀 nakubali,,,,Ushauri wako nimesha ufanyia kazi mkuu... nasubiri oder Yako tuu...🤣🤣🤣