Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,209
Hongera sana mkuuNdugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!
Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!
Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣
Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu
Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.
Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!
Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!
View attachment 2990271
Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!
Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!
Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!
View attachment 2990274
Sio kama huku picha kama hii ukaipigie Mwanga Tower pale Makumbusho 😄View attachment 2994867
Huku Kila sehemu ni pazuri 🤣🤣🤣
Acha ndugu yangu warabu wameendelea pesa wanazo na wanajua jinsi ya kunitumia...,!Sio kama huku picha kama hii ukaipigie Mwanga Tower pale Makumbusho 😄
Shukrani sana kiongoziHongera sana mkuu
Sio kama huku picha kama hii ukaipigie Mwanga Tower pale Makumbusho 😄
Ajira kama zipi?Ajira nchi za falme za kiarabu zipo...ajira ni nyingi mno ila lazima utulize kichwa...!
Kuna mahali umesema ukikutwa fine 3m, au hao wanawake watongozaji siyo waarabu?Dubai mwanamke kukutongoza ni jambo LA kawaida sana...
Tulia wewe Sunni umekatazwa kuhudhuria msiba wa rais wa Iran Ebrahim Rais mshia.Maghayo The Mongolian Beast yuko mamtoni muda mrefu ila mafanikio yake mkubwa ya kuwasaidia watanzania ni kuanzisha kikundi Cha kihuni humu Jf ambacho kinaitwa "THE GHAYOS GANG" humo anatoa connection za bange kwa vijana wake wakina The Stress Challengerr , The Mongolian Savage and others pamoja na kuchochea harakati za kihuni humu.
Au nasema uongo Satoh Hirosh na Dumas the terrible ?
Kabisa mkuu.Maghayo The Mongolian Beast yuko mamtoni muda mrefu ila mafanikio yake mkubwa ya kuwasaidia watanzania ni kuanzisha kikundi Cha kihuni humu Jf ambacho kinaitwa "THE GHAYOS GANG" humo anatoa connection za bange kwa vijana wake wakina The Stress Challengerr , The Mongolian Savage and others pamoja na kuchochea harakati za kihuni humu.
Au nasema uongo Satoh Hirosh na Dumas the terrible ?
True true huyu Maghayo na genge lake wadhibitiwe hapa Jamhuri ya JFMaghayo The Mongolian Beast yuko mamtoni muda mrefu ila mafanikio yake mkubwa ya kuwasaidia watanzania ni kuanzisha kikundi Cha kihuni humu Jf ambacho kinaitwa "THE GHAYOS GANG" humo anatoa connection za bange kwa vijana wake wakina The Stress Challengerr , The Mongolian Savage and others pamoja na kuchochea harakati za kihuni humu.
Au nasema uongo Satoh Hirosh na Dumas the terrible ?
HahahaKabisa mkuu.
Serikali iingilie kati kuhusu kikundi hiki cha vijana wa hovyo cha "Ghayos gang' kikiongozwa na mkalidayo,the Mongolian savage Maghayo muhuni mmoja kutoka kule chini ya mlima Kilimanjaro.
Bado uko huko?Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!
Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!
Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣
Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu
Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.
Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!
Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!
View attachment 2990271
Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!
Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!
Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!
View attachment 2990274
Hivi Viatu 🤣🤣🤣🤣🙌View attachment 2994867
Huku Kila sehemu ni pazuri 🤣🤣🤣
Uswahili bado umekukolea mkuuHivi Viatu 🤣🤣🤣🤣🙌
Thank you...I will never give up...!
Hivi Viatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Dah mwamba Mhando siamini Kama ushaiacha ardhi ya Bibi yetu sema nini pambana bro najua soon utanenepa maana ulikonda bro kwa mawazo ya kishetani ssa usiyawaze huko bro .View attachment 2994867
Huku Kila sehemu ni pazuri 🤣🤣🤣