Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 622
- 1,732
π€£π€£π€£π€£ umenikumbusha wale jamaa fulani hivi. Wanakuita posta ghorofa ya kumi, wanaki-whiteboard chao na projector. Wanaanza kukupigisha stori za kilimo, utasikia hekari moja inatoa matikiti 6000, tufanye umekosa unapata matikiti 4000. Ambapo bei ya sokoni sijui 3000 we fanya hutaki tamaa unauza....... unaambiwa kwa mwezi unatengeneza hadi 20M+Sikuzote nasemaga...
Biashara inafaida sana kwenye maandishi kama hivi, ebu ingia fied mwenyewe ukajionee....π
Janja za mjin hiziπ€£π€£π€£π€£ umenikumbusha wale jamaa fulani hivi. Wanakuita posta ghorofa ya kumi, wanaki-whiteboard chao na projector. Wanaanza kukupigisha stori za kilimo, utasikia hekari moja inatoa matikiti 6000, tufanye umekosa unapata matikiti 4000. Ambapo bei ya sokoni sijui 3000 we fanya hutaki tamaa unauza....... unaambiwa kwa mwezi unatengeneza hadi 20M+
Sasa ingia battlefield πππ
Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu.
Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada.
Iko hivi, wao wanaenda China au wengine wanakua hapa bongo lakini kule anakua na Mchina anaye muamini tayari. Sasa anachagua bidhaa zake na kuzitangazia bei kitonga. Kisha watu wanachanga.
Ukiwauliza wao wanapata faida gani hawajibu, maana katika matangazo yao hawaoneshi service charge inakua ngapi. Lakini kuihalisia wanakua tayari ile Bei wameongeza na chajuu Chao. Mfano viatu anavitangaza kwa Bei ya 3000 kwa masharti ya kuichukua pea elfu kumi. Sasa kwa Mchina pea elfu10 unawe kukuta Kila kiatu kikasimama kwenye 1500.
Sasa wao wanachukua 1500 kama malipo Yao.
Sasa ukifanya hesabu 1500* 10000=15,000,000/
Hapo nakula milioni 15 bila jasho
Hongera kwao
Eti anakula milioni 15 bila jasho....hebu kafanye na wewe sasa kama ni bila jasho unasubiri nini. Ingekua bila jasho si kila mtu angekua anafanyaHawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu.
Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada.
Iko hivi, wao wanaenda China au wengine wanakua hapa bongo lakini kule anakua na Mchina anaye muamini tayari. Sasa anachagua bidhaa zake na kuzitangazia bei kitonga. Kisha watu wanachanga.
Ukiwauliza wao wanapata faida gani hawajibu, maana katika matangazo yao hawaoneshi service charge inakua ngapi. Lakini kuihalisia wanakua tayari ile Bei wameongeza na chajuu Chao. Mfano viatu anavitangaza kwa Bei ya 3000 kwa masharti ya kuichukua pea elfu kumi. Sasa kwa Mchina pea elfu10 unawe kukuta Kila kiatu kikasimama kwenye 1500.
Sasa wao wanachukua 1500 kama malipo Yao.
Sasa ukifanya hesabu 1500* 10000=15,000,000/
Hapo nakula milioni 15 bila jasho
Hongera kwao
OGOPA MATAPELI!!Janja za mjin hizi
ππππOGOPA MATAPELI!!
Sababu hawajitambuiNi biashara ngumu sana, kuitwa tapeli ni kugusa tu umeshachafuka.
Nauli tu na gharama ukata mtaji Kama utaenda mwenyewe,Kila kitu online unamalizaKumshawishi mtu ambae hakujui akutumie hela umnunulie kitu ndo jasho Hilo!!
Halafu mtu mwenye uwezo wa kununua pea 10,000 lazima ana uwezo wa kwenda mwenyewe