Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
- Thread starter
-
- #81
Mkuu kwa mchepuko sihusiki kwa asilimia mia ila kwa wife nina imani kubwa kuwa nahusika.hahaha....naona ulikuwa unabadilisha mboga mkuu sasa kitu kimetiki kote kote!
Jiandae kulea watoto wote mkuu, assume mkeo ndio amekuzalia mapacha😀😀
Ndo nshakuambia hivyo...Mkuu sisi sote ni wanaume tunapaswa kusaidiana katika kipindi kigumu kama hiki naomba usinivunje moyo nipe msaada wa ushauri nami nitakushukuru.
Hajui na sijawahi kumwambia nikihofia anaweza kuniharibia ndoa yangu.Anajua una mke??
Kwanini kwa mchepuko hutaki kuamini kwamba hiyo mimba ni yako ili hali ulikuwa unapiga??Nenda ukacheki DNA kabla huo mchepuko haujakuharibia mkuuMkuu kwa mchepuko sihusiki kwa asilimia mia ila kwa wife nina imani kubwa kuwa nahusika.
Mkuu nimewaza mpaka kichwa kinauma.Inabidi utie akili.....experiential learning !!
Mkuu nadhani unafahamu fika kuwa binadamu tumeumbwa kwa matamanioKwa hiyo mwanzo hukuwa unampenda mkeo?,na wakati unabinuana na mchepuko ulikuwa huoni kama unatoka nje ya ndoa?
Simfahamu baba yake.Mtoto wa nani?
Ataanzia wapi manake mtoto sio wangu.Wewe dawa Yako bora aje mleta Mtoto kwako
Basis achana nae tuSimfahamu baba yake.
Mkuu hata mimi nadhani hilo ndo jambo la maana manake hakuna namna na ukizingatia mwenzangu anajua namtaka kweli wakati nilikuwa nampozea maumivu.
Nimekuelewa na nitazingatia unaloniambia ila kiukweli najilaumu kwa niliyoyatenda.Kumuacha sio tatizo kwake, ila amwachaje ndio tatizo maana anahofia sijuwi kurogwa.
Mbali na kuhofia kurogwa naomba uzingatie UTU kwanza. Usikurupuke kumuacha ghafra hasa ukizingatia mwenzio yupo katika kipindi kigumu.
Muache kama mpenzi wako ila si kama rafiki yako wa karibu.Namaanisha Endelea kuwa karibu nae kihuduma za msingi hasa katika mahitaji yake uliyokuwa unamsaidia awali. Ila kuwa nae mbali ktk mambo ya kimapenzi.
Pengine wewe ndio ulikuwa faraja yake, Hivyo kumuacha ghafra inaweza kumpelekea akaumia sana, Mwisho Siraha(UCHAWI) uliyoihofia ikawa njia yake pekee kuripiza kisasi.
ALIKUSTIRI WAKATI WA DHIKI ZAKO NAWE MSTIRI KTK DHIKI YAKE.
USIKIMBIE MAJUKUMU watafutie Card ya BIMA tunza wote mungu atakulipa usimkimbie mchepuko fanya ubinadamu kidogo... wewe mwache azae kwanza ndiyo umueleze baada ya kuzaa kaa miezi kama 3 hivi basiHabari za muda huu wanachama wenzangu wa JF, matumaini yangu hamjambo na ni wazima wa afya,
Ningependa kusema najuta kutembea na msista flani mwenye mimba na amejifungua mwezi wa 6 kwa oparesheni, binafsi nina mke wangu ambae nae ana ujauzito wangu na anategemea kujifungua mwezi huu wa 7 sio zaidi ya wiki mbili zijazo,kwa kifupi nimeamua kubaki na mke wangu na kumuandalia maisha mema na mazuri mtoto wangu hivyo nafsi yangu inanitaka niachane na huyo mchepuko japo naogopa nikimwambia simtaki anaweza kuchukua hatua hatarishi na kuniweka matatani au hata kuniroga manake nishapewa stori kabila lao ni moto wa kuotea mbali.
Nimejitahidi kutopokea simu zake kwa muda lakini naona mwenzangu hajui kusoma alama za nyakati kwani kila muda ananisumbua na mimi kutoka ndani ya moyo simtaki na sina muda wa kulea mtoto nisiejua kapatikana wapi,nampenda mke wangu na nampenda sana mtoto wangu ajae.
Naombeni ushauri niachane nae vipi huyu single mother?
NATANGULIZA SHUKRANI KWENU WANA JAMIIFORUMS.
hahahahaha mdukuzi katika ubora wakoakipiga simu mpe mtu akupokelee na aseme umepata ajali umekufa baada ya hapo badili namba atajua umekufa