Niachane vipi na huu mchepuko?

Mkuu tatizo hawa watu hawatabiriki unaweza sema uanishe kila kitu kwake ndo kwanza ukajikuta unajipalia makaa ya moto anaweza akaja kuharibu kwa bi mkubwa nikakosa pote ndo maana sijamwambia kuwa nina mke.
 
hapo ndio nimegundua kuna virusi mchepuko vinabidi vitafutiwe kinga na dawa
Haiwezekani mkeo ndani ana mimna umsaliti kwa lijitu lenye mimba kubwa kupita hata ya mkeo.
Sista sisi wanaume tunajijijua tulivyo nawaomba muache dhihaka na mnipatie ushauri jinsi ya kuachana na huyu mwanamke.
 
Mapenzi na mchepuko hayafi ndugu yangu. Unakosea sana kuyazima kama mshumaa.
Mkuu sisi sote ni wanaume tunapaswa kusaidiana katika kipindi kigumu kama hiki naomba usinivunje moyo nipe msaada wa ushauri nami nitakushukuru.
 
Hiyo ni GVB au ukatili Wa kijinsia tunza mimba na mtoto mtarajiwa ila usimsumbue Huyo mkeo kumuhusisha na mzigo wako km kweli unaachana naye kimapenzi achana naye kabisa na mwambie ajue.TUNZA mzigo wako.please tunza huo mzigo,mwombe msamaha mkeo na usikose kupima afya maana hukutumia kings full stop.
 
halafu ulikuwa humpi hela na mtoto umemwachia! akifikisha siku 40 aje akukabidhi ulee na mkeo awanyonyeshe kama mapacha ukizingatia naye atajifungua
Nitawezaje kulea mtoto ambaye sie wangu?? NADHANI NIISHIE HAPO ILA KUMBUKA [HUYU MCHEPUKO NILIMKUTA ANA MIMBA].
 
akipiga simu mpe mtu akupokelee na aseme umepata ajali umekufa baada ya hapo badili namba atajua umekufa

Mkuu wewe kibokoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, michongo kama hii tumefanya sana na mwanangu mmoja enzi za ujana wetu.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ................Umenikumbusha mbali sana.
 
Naomba utambue huy mchepuko nilimkuta ana mimba na hivyo hiyo sio mimba yangu.
 
Mkuu siwezi kulea mtoto ambae sio wangu na sina mpango wa kurudiana nae tena.
 
Aisee sisi wanamume muda mwingine...
Sasa mke unae kwa mchepuko mpaka kutia mimba inakuwaje kuwaje,Acha kukwepa majukumu.
Mkuu NASISITIZA KUWA ujauzito wa mchepuko sihusiki nae kwani nilipomtokea alikuwa na mimba ya kama miezi 6 au 7
 
Mkuu ningekuwa nimeshafanya hivyo awali ila nilijiuliza madhara tajwa hapo juu nikaona nisifanye hivyo sijui nifanye nini Nimechanganyikiwa.
 
Mimba SIO YANGU,
Nilimuuliza akanijibu ni ya jamaa flani nae alisha mtelekeza.

Sasa hapo waogopa nini? We lala Mbele tu!!! Hata Siku moja usikubali kunyanyaswa na kuishi kwa masharti na kutishiwa.
 
Mkuu wewe kibokoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, michongo kama hii tumefanya sana na mwanangu mmoja enzi za ujana wetu.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ................Umenikumbusha mbali sana.
ahahahahmademu ving'ang'anizi dawa yao ndio hiyo tu
 
Sasa hapo waogopa nini? We lala Mbele tu!!! Hata Siku moja usikubali kunyanyaswa na kuishi kwa masharti na kutishiwa.
Mkuu hata mimi nadhani hilo ndo jambo la maana manake hakuna namna na ukizingatia mwenzangu anajua namtaka kweli wakati nilikuwa nampozea maumivu.
 
Hutaki kulea mtoto wa mchepuko! Huyo aliye tumboni mwa mke wako unauhakika gani kama ni wako? Kilichomtokea aliye mtia mimba mchepuko wako, huenda kilikuwa kinakutokea na wewe. angalia ile 47% isikuhusu!
Mkuu na huyu mke wangu nimempa tahadhari endapo mtoto akitoka hafanani chochote na mimi yaani siku hiyo shetani atanisamehe kwa kweli kwa kitendo nitakachokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…