Kawaida mimi mwenyew kila nikitembea na mchepu anataka tuzae na wapo watatu wamebeba m zangu NIMEAMUA SITOWAKIMBIAAisee sisi wanamume muda mwingine...
Sasa mke unae kwa mchepuko mpaka kutia mimba inakuwaje kuwaje,Acha kukwepa majukumu.
hapo ndio nimegundua kuna virusi mchepuko vinabidi vitafutiwe kinga na dawanampenda sana mke wangu nampenda na mtoto mtarajiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we kaka mimi nahisi Mungu akusaidie katika kipindi kigumu![emoji23][emoji23]
maana ungekua ynampenda mkeo usingechepuka
baada ya kuona jumba bovu linakuangukia unajifanya humtaki unarudi kwa mkeo kisa hutapata papuchi mwaka mzima na utalea??
ndo faida ya uzinzi kaka / mwanaume wa kweli hakimbii majukumu
alafu huyo khadija mwakani mwezi kama huu ataaanza tena kuruka majoka sijui utamfata tena......?!?!
acha kukimbia kinyago ulichokichonga ..wajibika
honestly naomba kukuuliza swalinampenda sana mke wangu nampenda na mtoto mtarajiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we kaka mimi nahisi Mungu akusaidie katika kipindi kigumu![emoji23][emoji23]
maana ungekua ynampenda mkeo usingechepuka
baada ya kuona jumba bovu linakuangukia unajifanya humtaki unarudi kwa mkeo kisa hutapata papuchi mwaka mzima na utalea??
ndo faida ya uzinzi kaka / mwanaume wa kweli hakimbii majukumu
alafu huyo khadija mwakani mwezi kama huu ataaanza tena kuruka majoka sijui utamfata tena......?!?!
acha kukimbia kinyago ulichokichonga ..wajibika
Kabisa.... Kinyume na hapo arogwe tu.Single mothers ni wanawake km wanawake wengine, wanaumia, wanahisia, wana haki ya kupenda na kupendwa. Kuna waliokuwa single mothers kwa kuachwa na kutelekezwa, kuna waliofiwa(msiba) na matatizo ya maradhi, historia au ugumu wa maisha waliopitia mpk wakajiweka pembeni na kusonga mbele bila kukata tamaa.
Mtoto wa single mother ana mwezi mmoja tu tangu amezaliwa, anakupigia simu na kukusumbua kwa ajili ya mtoto mchanga umsaidie kuna magumu anayopitia kipindi hiki cha mwanzoni mwa uzazi na amekuona ww ndio msaada unaweza kumsaidia na kumuonelea huruma..bila kujali ni mwanao au sie (kitanda hakizai haramu), mtoto mchanga hana gharama kubwa mahitaji yake
Usimuache kwa kipindi hiki, jus take care of her b'se she needs u
Mbona umesema kwa upole hivyoPole.
Mbona umesema kwa upole hivyo
Mkuu ninaelewa unachoniambia nitaufanyia kazi ushauri wako ila kuhusu kuachana nae nitumie njia gani labda unisaidie hapa NDUGU YANGU.Single mothers ni wanawake km wanawake wengine, wanaumia, wanahisia, wana haki ya kupenda na kupendwa. Kuna waliokuwa single mothers kwa kuachwa na kutelekezwa, kuna waliofiwa(msiba) na matatizo ya maradhi, historia au ugumu wa maisha waliopitia mpk wakajiweka pembeni na kusonga mbele bila kukata tamaa.
Mtoto wa single mother ana mwezi mmoja tu tangu amezaliwa, anakupigia simu na kukusumbua kwa ajili ya mtoto mchanga umsaidie kuna magumu anayopitia kipindi hiki cha mwanzoni mwa uzazi na amekuona ww ndio msaada unaweza kumsaidia na kumuonelea huruma..bila kujali ni mwanao au sie (kitanda hakizai haramu), mtoto mchanga hana gharama kubwa mahitaji yake
Usimuache kwa kipindi hiki, jus take care of her b'se she needs u
Hapana mkuu sitoweza kukaa na wanawake wawili ila labda kusema nitumie moyo wa ubinadamu nimsaidie matumizi ya muhimu ya mtoto na si vinginevyo.Ungetuuliza wakati ulipoanzana naye majibu yetu yangekuwa msaada kwako. Sasa ushauri wa kweli kwa hali oligopoly ni huu KAA NAO WOTE, KAMA MAJUTO NI MJUKUU. YAMEKUSTAHILI, KWANI UNAVUNA ULICHOPANDA. Usithubutu kumkimbia huyo mke mdogo, kwani uzoefu huo wa kumkimbia utakufanya siku si nyingi utajikuta ukimkimbia hata huyo mama mkubwa mwishoni utaitwa MKIMBIZI. GANGA MALA!!!!
Hapana sio kweli kwani nilijua nina mke na sikuwa mropokaji mbele yake kwani nilitambua kuwa ahadi ni deni na sikuwa tayari kujiwekea visingiti vya malengo yangu ya baadae kwa kumpa ahadi ambazo zingenipa mawazo.Tatizo ni moja umetoa ahadi nyingi, sasa automatcly unaona aibu mbele yake
Hizo ni fikra zako Mkuu umeshakariri enzi za Uongozi wa nchi wa awamu ya 2 ulikuwa unakuta kijana mwenye miaka 30 bado yupo kwao kumbuka dhama zimebadilika,Maisha yameingiliwa! Siku hiz tatizo mpaka wavulana wanakuwa na familia.