Niachane naye au niendelee

Hizo ni dharau au?:shocked:

Jamani yamekuwa hayo? kusahau si ni kupoteza kumbukumbu! na kama mtu anapoteza kumbu kumbu si ni lazima mwili hauko sawa? sasa mimi kufanya hypothesis ndio kukudharau!
nisamehe kama kuna mahali nimekukosea pasipo kujua!
 
Huyo ana ndoa na jini sasa ni mpka likubali ndoa atakupa. Na si Mungu wetu wa mbinguni
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…