Nia ya Reforms na Katiba Mpya kwa Ujumla

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,118
Reaction score
5,373
Naomba niwaulize wale ambao wanasema muda hautoshi wa kufanya reforms, je, wapo tayari kwa reforms na katiba mpya kwa ujumla hata kwa baadae baada ya uchaguzi wa mwaka huu? Hii ni kwa sababu CCM wanasema kwa sasa muda uliobaki hautoshi na hawataki kuongezewa muda wa kukaa madarakani ili wafanye reforms.

Jamani tusicheze na muda kabisa. Unajua siku hazigandi. Kinachotakiwa hapa ni nia ya dhati na siyo danadana!

Ikitokea Lisu kakubali kwenda kwenye uchaguzi bila reforms, je, CCM wataanzisha mchakato wa reforms na katiba mpya mapema iwezekanavyo mara baada ya kumaliza uchaguzi wa mwaka huu? Au itaibuliwa sababu nyingine kwamba Watanzania hitaji lao siyo katiba bali ugali na football?

Nimeuliza hivyo kwa sababu tusiwe tunasema muda hautoshi kumbe hata ile nia tu haipo bali kigezo cha muda kutotosha ni kama silaha ya kuchelewesha mambo!

Hivi leo tukasema tupige kura ya maoni kama Watanzania wanataka katiba mpya au la, unahisi majibu yatakuwaje?
 
Kwa Mtazamo wangu Mimi.
1. Walioko Madalakani Hawataki Kutoka.
2.Hawawezi Kuweka Vipengere ambayo vitawatoa wao madalakani( Katiba)
3. Usalama wa Taifa, Majeshi Yote Ktk Nchi yana Fuata Katiba+ kauli ya Raisi( Katiba na Vifungu wabadilishe Viwaumize, Wao wataweka vipengele vinavyowabeba wao ktk kufanikisha mambo yao.
4.Hata siku Moja usitegemee Tanzania kutakuja kua na Marekebisho ya Katiba,Hilo wazo ondoa Kichwani kwako, Ebu Jiulize wewe tu Binafsi unaweza tunga Sheria zitakazo kuumiza wewe mwenyewe. kama Jibu ni apana Basi Jua hata wao hawawezi kufanya hilo jambo.
5. Wafanya Biashara, wasanii na watu Mashughuri au maarufu, lazima wawe bega kwa bega na Serikali Ili kulinda Biashara zao na Mali walizonazo, Kua kinyume na Serikali ni kujitafutia matatizo au kujiletea Balaaa.
Tazama watu wanaopingana na Serikali Jinsi wanavyopitia so jifunze hapo.
6.Sio Kila anaesifia ni kua anapenda wengine wanasifia Ili kulinda miradi na Uwekezaji walio ufanya la sivyo watapoteza vyote.
7.Cheza karata kimahesabu usipingane na Watawala.
 
Gentleman,
muda ambao wananchi na waTanzania wote watakapoamua kubadili sheria au katiba yao, mambo hayo yatafanyika,

lakini sio kwasabb ati kibaka au tapeli fulani wa kisiasa na chama chake anataka jambo kifanyike atakavyo yeye,

that's nonsense 🐒
 
6.Sio Kila anaesifia ni kua anapenda wengine wanasifia Ili kulinda miradi na Uwekezaji walio kufanya la sivyo utapoteza vyote.
7.Cheza karata kimahesabu usipingane na Watawala.
Huo ni ubinafsi. Katiba mpya ni vyema ikahuishwa na reforms za uchaguzi zikafanyika ili kuichangamsha serikali isilale kwa kuogopa kutochaguliwa.

Kama ni hivyo, sasa kumbe wasiwe wanasema muda hautoshi wa kufanya reforms kwa sababu siku hazigandi. Leo wakiulizwa tuwape muda gani wakataja, wananchi wakasubiria, muda ukifika wakashindwa, wao si ndio watakuwa chanzo cha uvunjifu wa amani?
 
Ndugu usiumize Kichwa,
Rais ni Tasisi inayochaguliwa na Mfumo, so huo mfumo unaochagua ndio Serikali, pia nao wapo pale kupambania familia zao, Wapo watu wananufaika na Mfumo Sasa wewe unakuja na wazo lako la Katiba, hivi Katiba vile unzani watakuelewa, Cheza part yako, pambania familia yako Maisha yaende.
Usijichoshe na hizo mada, waulize Chawa ndo utajua Nini maana ya mfumo.
 
Gentleman,
muda ambao wananchi na waTanzania wote watakapoamua kubadili sheria au katiba yao, mambo hayo yatafanyika,

lakini sio kwasabb ati kibaka au tapeli fulani wa kisiasa na chama chake anataka jambo kifanyike atakavyo yeye,

that's nonsense 🐒
Basi kumbe kuna haja ya kupiga kura ya maoni ili kujua kama tunahitaji reforms za tume ya uchaguzi na katiba mpya! Kwa sababu ukisema siku Watanzania wakitaka, mbona kama vile itakuwa ni ngumu kujua kama Watanzania wanataka kwa pamoja au itatumika njia ipi?

Binafsi naona viongozi wa kisiasa na asasi za kiraia ndiyo kazi yao kuwaelimisha wananchi kuhusu haki za kiraia. Hapa namaanisha, hata CCM wanatakiwa wawaelimishe wananchi kuhusu elimu ya uraia kwa sababu nchi ni ya wote. Je, ni mfumo gani wa maisha ambao unawapendelea Wananchi wengi? Mfumo wa manufaa kwa wengi ndio tunaufuata!

Kwani Watanzania wachache hawawezi kuwa chachu ya mabadiliko ya Watanzania wengine kwa sababu tunatofautiana uelewa?
 
Huo ni ubinafsi. Katiba mpya ni vyema ikahuishwa na reforms za uchaguzi zikafanyika ili kuichangamsha serikali isilale kwa kuogopa kutochaguliwa.

Kama ni hivyo, sasa kumbe wasiwe wanasema muda hautoshi wa kufanya reforms kwa sababu siku hazigandi. Leo wakiulizwa tuwape muda gani wakataja, wananchi wakasubiria, muda ukifika wakashindwa, wao si ndio watakuwa chanzo cha uvunjifu wa amani?
Du! Kumbe tunachoshana tu sasa, mara hivi, mara vile! Binafsi huwa najihurumia na kuwahurumia maskini wenzangu mana naona kabisa vizazi vyetu kutoboa kwenye huu mfumo ni kazi sana.

Katiba mpya na usimamizi imara ndio ingekuwa mwarobaini wa mambo hata ya ufisadi ili na sisi vizazi vyetu viishi kwa furaha huko mbeleni! Lakini kwa mfumo huu, mtu mwizi wa mali za umma ndio anaonekana mjanja na mpambanaji mtaani! Ambao tupo nje ya ofisi tukipambana na kilimo tunaonekana wajinga!
 
Kwa Mtazamo wangu Mimi.
1. Walioko Madalakani Hawataki Kutoka.
2.Hawawezi Kuweka Vipengere ambayo vitawatoa wao madalakani( Katiba)
3. Usalama wa Taifa, Majeshi Yote Ktk Nchi yana Fuata Katiba+ kauli ya Raisi( Katiba na Vifungu wabadilishe Viwaumize, Wao wataweka vipengele vinavyowabeba wao ktk kufanikisha mambo yao.
4.Hata siku Moja usitegemee Tanzania kutakuja kua na Marekebisho ya Katiba,Hilo wazo ondoa Kichwani kwako, Ebu Jiulize wewe tu Binafsi unaweza tunga Sheria zitakazo kuumiza wewe mwenyewe. kama Jibu ni apana Basi Jua hata wao hawawezi kufanya hilo jambo.
5. Wafanya Biashara, wasanii na watu Mashughuri au maarufu, lazima wawe bega kwa bega na Serikali Ili kulinda Biashara zao na Mali walizonazo, Kua kinyume na Serikali ni kujitafutia matatizo au kujiletea Balaaa.
Tazama watu wanaopingana na Serikali Jinsi wanavyopitia so jifunze hapo.
6.Sio Kila anaesifia ni kua anapenda wengine wanasifia Ili kulinda miradi na Uwekezaji walio ufanya la sivyo watapoteza vyote.
7.Cheza karata kimahesabu usipingane na Watawala.
Una maarifa mafupi sana kama mkia wa mbuzi.
 
Back
Top Bottom