"Viwanda " mkuu mara hii tu umeshasahau....?Bila kupepesa matamshi, hivi ajenda za ccm ni zipi katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni?
Tumezoea ccm mkiwalaghai wananchi kila wakati kampeni za uchaguzi zinapotimia..
Mfano uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kuna mil 50 zilihaidiwa lakini hadi hivi leo hakuna kiongozi yeyote anayezizungumzia...!!
Agenda za ccm ni zipi??
hahahaaaa chamadola kweli,Ziko nyingi:
a)bei nzuri ya pamba kwa mwaka huu,hasa kanda ya ziwa!mathalani mwaka jana bei ilikuwa kati ya 600-900tsh kwa kilo,ila mwaka huu ni tshs 1200-1500!na wanunuaji waliambia na Magufuli aidha 1200 au waache pamba ya wakulima ili Serikali iinunte!
b)bei nzuri ya korosho toka 800@kilo to 3000tsh-4000tsh@kilo,uko kusini mpaka mbuzi wanakunywa bia!
c)kuondoa watumishi hewa hasa wale 19,000/=!unaweza jiuliza ajenda hii itawafurahisha vipi watz!
Kwa taarifa yako watz wanawachukia wenye nacho,na kama unavyojua 80% ya watz ni maskini!na hakuna mtu asiyependa wenye nacho kama hawa!kwa akili ya kawaida wananchi wa kawaida hasa wakulima na wafugaji,wafanyabiashara mijini na vijijini wanaongoza kuwachukia watumishi wa serikali!CCM itakachofanya ni kuongezea petroli!unakumbuka sakata la mwalimu Msigwa?watumishi wa umma hawana mtetezi!tukiwatukana hao majukwaani watz watatupa kura!
d)wafanyabiashara hasa bodaboda na machinga kura zao tunazo!
Hio ndio c.c.m!
E)milioni 50 tutawapa 2019 ili 2020 wasitusahau
e)2020 tutaruhusu unywaji wa gongo,ili tupate hoja ya viwanda!
Pumbafu kabisa, yaani kwenye hizo color ndio hoj zenu????Ziko nyingi:
a)bei nzuri ya pamba kwa mwaka huu,hasa kanda ya ziwa!mathalani mwaka jana bei ilikuwa kati ya 600-900tsh kwa kilo,ila mwaka huu ni tshs 1200-1500!na wanunuaji waliambia na Magufuli aidha 1200 au waache pamba ya wakulima ili Serikali iinunte!
b)bei nzuri ya korosho toka 800@kilo to 3000tsh-4000tsh@kilo,uko kusini mpaka mbuzi wanakunywa bia!
c)kuondoa watumishi hewa hasa wale 19,000/=!unaweza jiuliza ajenda hii itawafurahisha vipi watz!
Kwa taarifa yako watz wanawachukia wenye nacho,na kama unavyojua 80% ya watz ni maskini!na hakuna mtu asiyependa wenye nacho kama hawa!kwa akili ya kawaida wananchi wa kawaida hasa wakulima na wafugaji,wafanyabiashara mijini na vijijini wanaongoza kuwachukia watumishi wa serikali!CCM itakachofanya ni kuongezea petroli!unakumbuka sakata la mwalimu Msigwa?watumishi wa umma hawana mtetezi!tukiwatukana hao majukwaani watz watatupa kura!
d)wafanyabiashara hasa bodaboda na machinga kura zao tunazo!
Hio ndio c.c.m!
E)milioni 50 tutawapa 2019 ili 2020 wasitusahau[/Blue]
e)2020 tutaruhusu unywaji wa gongo,ili tupate hoja ya viwanda!
sio dhambi,we call it propaganda!Pumbafu kabisa, yaani kwenye hizo color ndio hoj zenu????
Mnataka muhadae watanzania walio mazoba kwa huu upuuzi?
Haiwezekani haiwezekani mmekua mkiwahadaa watz kwa upumbavu, upuuzi, uongo na udhalimu! Dhambi mnayoifanya itawapeleja jehanamu!!!
Mkuu,unafikiri hatujui?tunajua!ajira,kodi nafuu,mishahara minono na upandishwaji wa madaraja tutawabip 2017 kidogo,halafu 2019 tunawapigia kidogo na 2020 tunafungulia mbwa!hahahaaaa chamadola kweli,
Ila watu hawana hela, na sio kila mtu ni mkulima wa hayo mazao, so kama mnataka kura ongezeni expenditure.... bana matumizi imesababisha private sector ina slow down sana, na ndio kimbilio la ajira nyingi, anachofanya huyu mzee, kitagharimu sana.... for the sake of Tanzania
in politics there is nuthin bad or good!it is all about winning or loosing!Uongo siyo dhambi?
Haaaaa unachekelea bei ya pamba inapanda uku unga nao unazidi kupanda bei tuZiko nyingi:
a)bei nzuri ya pamba kwa mwaka huu,hasa kanda ya ziwa!mathalani kwa mwaka jana bei ya pamba ilikuwa kati ya 600-900tsh kwa kilo,ila mwaka huu ni tshs 1200-1500!na wanunuaji waliambia na Magufuli aidha 1200 au waache pamba ya wakulima ili Serikali iinunue yenyewe!wakaufyata,na wanazengo wakauza kwa bei nzuri haijapata kutokea!
b)bei nzuri ya korosho toka 800@kilo to 3000tsh-4000tsh@kilo,uko kusini mpaka mbuzi wanakunywa bia!
c)kuondoa watumishi hewa hasa wale 19,000/=!unaweza jiuliza ajenda hii itawafurahisha vipi watz!ni rahisi!
Kwa taarifa yako watz wanawachukia wenye nacho,na kama unavyojua 80% ya watz ni maskini!na hakuna mtu asiyependa wenye nacho kama hawa!kwa akili ya kawaida wananchi wa kawaida hasa wakulima na wafugaji,wafanyabiashara mijini na vijijini wanaongoza kuwachukia watumishi wa serikali!CCM itakachofanya ni kuongezea petroli!unakumbuka sakata la mwalimu Msigwa?watumishi wa umma hawana mtetezi!tukiwatukana hao majukwaani watz watatupa kura!
d)wafanyabiashara hasa bodaboda na machinga kura zao tunazo!
Hio ndio c.c.m!
e) Hizo milioni 50 tutawapa 2019 ili 2020 wasitusahau
e)2020 tutaruhusu unywaji wa gongo,ili tupate hoja ya viwanda!
Hiyo 2019 ni danganya toto na ulaghai, watakaowaelewa ni mazombi tu..!!Mkuu,unafikiri hatujui?tunajua!ajira,kodi nafuu,mishahara minono na upandishwaji wa madaraja tutawabip 2017 kidogo,halafu 2019 tunawapigia kidogo na 2020 tunafungulia mbwa!
Na mazombi ndio mtaji wetu!Na bahati nzuri 60% ya watz ni mazombi!ni wajinga,maskini na waoga!Hiyo 2019 ni danganya toto na ulaghai, watakaowaelewa ni mazombi tu..!!
a)Hoja ya Unga Itaapply Mijini!Vijijini Watu Wengi Wana Maindi,na Kumbuka Mwaka Huu Watu Walipata Nafaka Nying!Na Sehemu Zenye Njaa Tutagawa Maindi au Mtama wa Msaada!Na Kumbuka Chaguzi Hizi Zinafanyika Ngazi ya Kata!Ngazi ni Laisi Kusambaza Nafaka!Haaaaa unachekelea bei ya pamba inapanda uku unga nao unazidi kupanda bei tu
Izo wafanyakazi hewa ni propaganda 2 mbona wanashindwa kuajiri watu tena
Hatua moja mbele ila hatua 3 nyuma hii inchi inajengwa taratibu sio kwa speed alikuja nayo uyu mzeeee
Hahaaaaa, duuh! Mbona unakuja na hoja dhaifu kiasi hicho mkuu??a)Hoja ya Unga Itaapply Mijini!Vijijini Watu Wengi Wana Maindi,na Kumbuka Mwaka Huu Watu Walipata Nafaka Nying!Na Sehemu Zenye Njaa Tutagawa Maindi au Mtama wa Msaada!Na Kumbuka Chaguzi Hizi Zinafanyika Ngazi ya Kata!Ngazi ni Laisi Kusambaza Nafaka!
Kata za Mijini,hakuna shida,bodaboda na wamachinga watatupa!
b)Ajira za serikali zinabeba 2% ya watz!Kwahyo hoja hii haina nguvu kivile!
Tarehe 25/01/2017 Tukutane hapa twone nani mwenye hoja dhaifu!Hahaaaaa, duuh! Mbona unakuja na hoja dhaofu kiasi hicho mkuu??