Ni zipi Agenda za CCM kwenye uchaguzi mdogo huu wa madiwani?

Bila kupepesa matamshi, hivi ajenda za ccm ni zipi katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni?
Tumezoea ccm mkiwalaghai wananchi kila wakati kampeni za uchaguzi zinapotimia..
Mfano uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kuna mil 50 zilihaidiwa lakini hadi hivi leo hakuna kiongozi yeyote anayezizungumzia...!!
Agenda za ccm ni zipi??
Me nasubiria ile SINGEL yao ya "Tumeipenda wenyewe.. chaguo letu wenyew.."
 
Tunaposubiri agenda za CCM ,tutajie za UKAWA au CHADEMA,au CUF ukiweza na za ACT-Wazalendo ili tuwapime.
Ukitoa ccm, vyama kama cdm vinakubalika sana, na havihitaji saana kujiuza!
Weka ajenda za ccm ndio hoja iliyopo mezani...
 
CCM ni chama makini hakiwezi kukosa sela kama vipi karibu kwenye kampeni uzisikie.
 
CCM ni chama makini hakiwezi kukosa sela kama vipi karibu kwenye kampeni uzisikie.
Ni kweli hakiwezi kukosa sela,
Ila sera hakina, kina sera za kulaghai wananchi ambazo ndio hizo waziita sela..
 
Ziko nyingi:
a)bei nzuri ya pamba kwa mwaka huu,hasa kanda ya ziwa!mathalani kwa mwaka jana bei ya pamba ilikuwa kati ya 600-900tsh kwa kilo,ila mwaka huu ni tshs 1200-1500!na wanunuaji waliambia na Magufuli aidha 1200 au waache pamba ya wakulima ili Serikali iinunue yenyewe!wakaufyata,na wanazengo wakauza kwa bei nzuri haijapata kutokea!
b)bei nzuri ya korosho toka 800@kilo to 3000tsh-4000tsh@kilo,uko kusini mpaka mbuzi wanakunywa bia!
c)kuondoa watumishi hewa hasa wale 19,000/=!unaweza jiuliza ajenda hii itawafurahisha vipi watz!ni rahisi!
Kwa taarifa yako watz wanawachukia wenye nacho,na kama unavyojua 80% ya watz ni maskini!na hakuna mtu asiyependa wenye nacho kama hawa!kwa akili ya kawaida wananchi wa kawaida hasa wakulima na wafugaji,wafanyabiashara mijini na vijijini wanaongoza kuwachukia watumishi wa serikali!CCM itakachofanya ni kuongezea petroli!unakumbuka sakata la mwalimu Msigwa?watumishi wa umma hawana mtetezi!tukiwatukana hao majukwaani watz watatupa kura!
d)wafanyabiashara hasa bodaboda na machinga kura zao tunazo!
Hio ndio c.c.m!
e) Hizo milioni 50 tutawapa 2019 ili 2020 wasitusahau
e)2020 tutaruhusu unywaji wa gongo,ili tupate hoja ya viwanda!
You are so genius ChamaDola.
 
Back
Top Bottom