Ni zipi Agenda za CCM kwenye uchaguzi mdogo huu wa madiwani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zipi Agenda za CCM kwenye uchaguzi mdogo huu wa madiwani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Freyzem, Dec 26, 2016.

 1. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2016
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,254
  Likes Received: 14,222
  Trophy Points: 280
  Bila kupepesa matamshi, hivi ajenda za ccm ni zipi katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni?
  Tumezoea ccm mkiwalaghai wananchi kila wakati kampeni za uchaguzi zinapotimia..
  Mfano uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kuna mil 50 zilihaidiwa lakini hadi hivi leo hakuna kiongozi yeyote anayezizungumzia...!!
  Agenda za ccm ni zipi??
   
 2. Jorochere

  Jorochere JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2016
  Joined: Oct 22, 2015
  Messages: 835
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 180
  "Viwanda " mkuu mara hii tu umeshasahau....?
   
 3. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2016
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,254
  Likes Received: 14,222
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu, watasema tayari washajenga 3000,
   
 4. swissme

  swissme JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2016
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 12,560
  Likes Received: 14,967
  Trophy Points: 280
  images-13.jpeg

  viwanda


  swissme
   
 5. esitena tetena

  esitena tetena JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2016
  Joined: Aug 21, 2015
  Messages: 1,727
  Likes Received: 1,032
  Trophy Points: 280
  kuna ile sera ya bongo fleva,fulana,vitenge,kofia na skafu.halafu tutaimba tena "tumeipenda wenyewe".
  kwi!kwi!kwi!
   
 6. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2016
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,254
  Likes Received: 14,222
  Trophy Points: 280
 7. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2016
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,254
  Likes Received: 14,222
  Trophy Points: 280
  Hahaaaa, ningetamani nishiriki kampeni nisikie kama hako kawimbo kataendelea kuwa kibwagizo....!!!
   
 8. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2016
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,404
  Likes Received: 2,705
  Trophy Points: 280
  Ziko nyingi:
  a)bei nzuri ya pamba kwa mwaka huu,hasa kanda ya ziwa!mathalani kwa mwaka jana bei ya pamba ilikuwa kati ya 600-900tsh kwa kilo,ila mwaka huu ni tshs 1200-1500!na wanunuaji waliambia na Magufuli aidha 1200 au waache pamba ya wakulima ili Serikali iinunue yenyewe!wakaufyata,na wanazengo wakauza kwa bei nzuri haijapata kutokea!
  b)bei nzuri ya korosho toka 800@kilo to 3000tsh-4000tsh@kilo,uko kusini mpaka mbuzi wanakunywa bia!
  c)kuondoa watumishi hewa hasa wale 19,000/=!unaweza jiuliza ajenda hii itawafurahisha vipi watz!ni rahisi!
  Kwa taarifa yako watz wanawachukia wenye nacho,na kama unavyojua 80% ya watz ni maskini!na hakuna mtu asiyependa wenye nacho kama hawa!kwa akili ya kawaida wananchi wa kawaida hasa wakulima na wafugaji,wafanyabiashara mijini na vijijini wanaongoza kuwachukia watumishi wa serikali!CCM itakachofanya ni kuongezea petroli!unakumbuka sakata la mwalimu Msigwa?watumishi wa umma hawana mtetezi!tukiwatukana hao majukwaani watz watatupa kura!
  d)wafanyabiashara hasa bodaboda na machinga kura zao tunazo!
  Hio ndio c.c.m!
  e) Hizo milioni 50 tutawapa 2019 ili 2020 wasitusahau
  e)2020 tutaruhusu unywaji wa gongo,ili tupate hoja ya viwanda!
   
 9. chinchilla coat

  chinchilla coat JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2016
  Joined: May 16, 2016
  Messages: 3,387
  Likes Received: 5,918
  Trophy Points: 280
  hahahaaaa chamadola kweli,
  Ila watu hawana hela, na sio kila mtu ni mkulima wa hayo mazao, so kama mnataka kura ongezeni expenditure.... bana matumizi imesababisha private sector ina slow down sana, na ndio kimbilio la ajira nyingi, anachofanya huyu mzee, kitagharimu sana.... for the sake of Tanzania
   
 10. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2016
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,254
  Likes Received: 14,222
  Trophy Points: 280
  Pumbafu kabisa, yaani kwenye hizo color ndio hoj zenu????
  Mnataka muhadae watanzania walio mazoba kwa huu upuuzi?
  Haiwezekani haiwezekani mmekua mkiwahadaa watz kwa upumbavu, upuuzi, uongo na udhalimu! Dhambi mnayoifanya itawapeleja jehanamu!!!
   
 11. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2016
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,404
  Likes Received: 2,705
  Trophy Points: 280
  sio dhambi,we call it propaganda!
   
 12. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2016
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,404
  Likes Received: 2,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu,unafikiri hatujui?tunajua!ajira,kodi nafuu,mishahara minono na upandishwaji wa madaraja tutawabip 2017 kidogo,halafu 2019 tunawapigia kidogo na 2020 tunafungulia mbwa!
   
 13. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2016
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,254
  Likes Received: 14,222
  Trophy Points: 280
  Uongo siyo dhambi?
   
 14. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2016
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,404
  Likes Received: 2,705
  Trophy Points: 280
  in politics there is nuthin bad or good!it is all about winning or loosing!
   
 15. James alamba

  James alamba Senior Member

  #15
  Dec 26, 2016
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 179
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Haaaaa unachekelea bei ya pamba inapanda uku unga nao unazidi kupanda bei tu

  Izo wafanyakazi hewa ni propaganda 2 mbona wanashindwa kuajiri watu tena

  Hatua moja mbele ila hatua 3 nyuma hii inchi inajengwa taratibu sio kwa speed alikuja nayo uyu mzeeee
   
 16. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2016
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,254
  Likes Received: 14,222
  Trophy Points: 280
  Hiyo 2019 ni danganya toto na ulaghai, watakaowaelewa ni mazombi tu..!!
   
 17. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2016
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,404
  Likes Received: 2,705
  Trophy Points: 280
  Na mazombi ndio mtaji wetu!Na bahati nzuri 60% ya watz ni mazombi!ni wajinga,maskini na waoga!
  Tisheti Zinatosha Kuwafanya Watupe Kura Zao!
   
 18. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2016
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,404
  Likes Received: 2,705
  Trophy Points: 280
  a)Hoja ya Unga Itaapply Mijini!Vijijini Watu Wengi Wana Maindi,na Kumbuka Mwaka Huu Watu Walipata Nafaka Nying!Na Sehemu Zenye Njaa Tutagawa Maindi au Mtama wa Msaada!Na Kumbuka Chaguzi Hizi Zinafanyika Ngazi ya Kata!Ngazi ni Laisi Kusambaza Nafaka!
  Kata za Mijini,hakuna shida,bodaboda na wamachinga watatupa!
  b)Ajira za serikali zinabeba 2% ya watz!Kwahyo hoja hii haina nguvu kivile!
   
 19. Freyzem

  Freyzem JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2016
  Joined: Jun 29, 2013
  Messages: 6,254
  Likes Received: 14,222
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaa, duuh! Mbona unakuja na hoja dhaifu kiasi hicho mkuu??
   
 20. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2016
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 3,404
  Likes Received: 2,705
  Trophy Points: 280
  Tarehe 25/01/2017 Tukutane hapa twone nani mwenye hoja dhaifu!
   
Loading...