Ni zamu ya dar or?

Ni zamu ya dar or?

FredKavishe

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,090
Reaction score
322
Dr slaa kapost facebook anauliza ni dar mpo'sasa nataka kujua itakuwa lini maana navyosubiria kwa hamu'hebu MUHESHIMIWA REGIA MTEMA'tupe habari kamili
 
Dr slaa kapost facebook anauliza ni dar mpo'sasa nataka kujua itakuwa lini maana navyosubiria kwa hamu'hebu MUHESHIMIWA REGIA MTEMA'tupe habari kamili
<br />
<br />

Kamulize slaa huko huko fb anamanisha nn?

Watu wengine bana!
 
"The difference between ordinary and extraordinary is that little extra"
inaonyesha yeye amepungukiwa busara na wewe unayo,so katika msafaraa wa mamba kenge pia wamoo,
msamehe buree ila namwombaa asirudie kwaniii yeye ni mtu mzima na kajua kosa lakee
ahsante:wink2:

Dar CDM hawana lao bana , mbona iko wazi ! aje aabike bure bwana harusi mtarajiwa !
 
Back
Top Bottom