Ni zaidi ya Babu wa Loliondo

Ni zaidi ya Babu wa Loliondo

Status
Not open for further replies.

jafari irigo

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Baada ya watu wengi kutoa shuhuda zao za kuponeshwa Sukari, presha,ngiri na mazindiko ya mji na Dr Alhaji toka mkoani Tanga na kwa Maombi ya wakazi wa Mwanza sasa yupo hapa jijini wasiliana naye 0787625719.
 
Mazindiko? Lakini kwa vile watanzania wengi ni wepesi wa kuamini wengine watapatikana tu!
 
Wabongo kwa mambo ya ulozi...mmmh!!!
 
Akitaka watu waamini na wamiminike kwake afanye miujixa ya kupona mtu mwenye kisukar,presha,ukimwi,kansa nk.atashangaa
 
Kazi kweli kweli!ila kila kitu kwa imani.ukiamini dawa za hosp utapona,ukiamini kuombewa kanisani utapona,ukiamini kusomewa dua msikitini utapona na ukiamini huduma za kiasili utapona.tupeane Uhuru wa kuamua japo kushauriana ni muhimu.ukiupenda ushauri pokea na ikiwa haujaupenda unaupotezea.
 
f
anyeni kazi watanzania acheni mchezo mchezo
 
f
anyeni kazi watanzania acheni mchezo mchezo
Sijakuelewa!inamaana mtu akiwa na matatizo hataki kufanya kazi?ndugu yangu inawezekana haujawahi kupatwa na matatizo yakakufanya uache kazi uende hosp au kanisani au msikitini u kwa Hao watu wa jadi.na amini Kama ulishawahi pata tabu usingelisema Hiyo Kauli yako.
 
Kukithiri kwa rushwa katika huduma za umma ndio chanzo cha watu wengi kukimbilia kwa watoa tiba MBADALA maana huko hawahitajiki kutoa kitu kidogo kumuona TABIBU huyo.Serikali ikiamka usingizini itawanusuru wananchi wake kinyume cha hapo watu wataendelea KULIWA tu na watoa tiba mbadala na akina Babu wa Loliondo:wave:
 
Mazindiko huo ni ushirikina. Unatafuta waachawi ama? Ushindwe.
 
Baada ya watu wengi kutoa shuhuda zao za kuponeshwa Sukari, presha,ngiri na mazindiko ya mji na Dr Alhaji toka mkoani Tanga na kwa Maombi ya wakazi wa Mwanza sasa yupo hapa jijini wasiliana naye 0787625719.

C.c Wassira, Magufuli, Pinda, Kandoro, Lukuvi, Chagonja, Mrema na wengineo ambao kikombe cha babu hakikuwasaidia..
 
Kwa hiyo kuna Dokta mpya aliyempindua Isaac Ndodi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sijakuelewa!inamaana mtu akiwa na matatizo hataki kufanya kazi?ndugu yangu inawezekana haujawahi kupatwa na matatizo yakakufanya uache kazi uende hosp au kanisani au msikitini u kwa Hao watu wa jadi.na amini Kama ulishawahi pata tabu usingelisema Hiyo Kauli yako.

why not kwa xhehe au kwa mchungaj au padri iwe sehem hizo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom