Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Fatma Bawazir, Jul 26, 2012.

 1. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao.
  1)Aliekwenda dukani kuulizia blootuth.
  2)Aliekula hoteli vyombo akaosha.
  3)Alienunua chokostiki akaitia kwenye mkoba akachukua zawadi kijijini.
  4)Aliemuamkia mtu alieko kwenye TV.
  5)Aliechukua pande la barafu na kuliangalia wapi linavuja?
   
 2. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  No.1&2 wastaarabu.
  3, 4 na tano wambolea.
   
 3. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Huyo mwenye adabu ya kusalimia watangazaji wa tv.
   
 4. L

  Lengutee Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  aliyeandika blootuth
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Aliyeenda dukani akanunua mswaki akaujaribv palepale afu akarudisha eti haufai
   
 6. f

  filonos JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  yule aliomba picture yake apewe toka kwenye facbook
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  1. Mshamba
  2. Msafi
  3. Mwizi
  4. Ana heshima
  5. Tahira
   
 8. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Namba
  1. yuko sahihi mf.kuna baadhi ya laptop hazina bluetooth on board lazima utumie external.
  2. Hakuwa na hela na makubaliano yalikuwa ale aoshe vyombo
  3. Zawadi ni zawadi
  4 & 5 hao ndiyo washamba
   
 9. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  penye nyekundu huyo siyo mshamba maana zinauzwa kiukweli........ila watano nahisi anastahili maombi.
   
 10. A

  Abdson Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aliyenunua soda akanywa yote halafu akarudisha chupa akisema imetoboka.
   
Loading...