Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa

Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao.
1)Aliekwenda dukani kuulizia blootuth.
2)Aliekula hoteli vyombo akaosha.
3)Alienunua chokostiki akaitia kwenye mkoba akachukua zawadi kijijini.
4)Aliemuamkia mtu alieko kwenye TV.
5)Aliechukua pande la barafu na kuliangalia wapi linavuja?
 
Aliyeenda dukani akanunua mswaki akaujaribv palepale afu akarudisha eti haufai
 
Namba
1. yuko sahihi mf.kuna baadhi ya laptop hazina bluetooth on board lazima utumie external.
2. Hakuwa na hela na makubaliano yalikuwa ale aoshe vyombo
3. Zawadi ni zawadi
4 & 5 hao ndiyo washamba
 
Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao.
1)Aliekwenda dukani kuulizia blootuth.
2)Aliekula hoteli vyombo akaosha.
3)Alienunua chokostiki akaitia kwenye mkoba akachukua zawadi kijijini.
4)Aliemuamkia mtu alieko kwenye TV.
5)Aliechukua pande la barafu na kuliangalia wapi linavuja?

penye nyekundu huyo siyo mshamba maana zinauzwa kiukweli........ila watano nahisi anastahili maombi.
 
Back
Top Bottom