Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Wewe ni mwanamke???
Honestly say siku zote najua wewe ni mwanaume.
Wewe ni mwanamke???
Dah! Ntake radhi Nifah! Kengele zinaning'inia hapa. na tayari nshatoa copy kibao.Wewe ni mwanamke???
Honestly say siku zote najua wewe ni mwanaume.
Dah! Nilikurupuka nimeirudia tena kuisoma hiyo post. Najiskia aibu.Wewe ni mwanamke???
Honestly say siku zote najua wewe ni mwanaume.
Yote sawa lkn kikubwa n uaminifu tu unaweza kumpata mpole lkn c muaminifuKwa wasio jua mwanamke ni mtu wa ajabu sana anaweza ku fall in love kunako sehemu asio tegemea. Yupi kati ya aina hii ya wanaume una penda sana kuaa nae au ungependa kukaa nae na ukawa happy.
1. Mpole
2. Mkimya
3. Mcheshi
4. Mjanja
5. Mwenye msimamo.
6. Mkali / mkorofi
7. Msafi
8. Muelewa
9. Anae jiamini
10. Mwenye heshima .
Sharti: chagua moja tu, au sifa moja tu.
Kumbuka sio wanaume wote wenye sifa hizo kuna wengine ni hopeless kabisa.
Dah! Ntake radhi Nifah! Kengele zinaning'inia hapa. na tayari nshatoa copy kibao.
Hahahahaaa, nimekuelewa,ajali kazini tu usijali.Dah! Nilikurupuka nimeirudia tena kuisoma hiyo post. Najiskia aibu.
Hata kama ni kinyume na namba 7?
Huyo ni She-MaleWewe ni mwanamke???
Honestly say siku zote najua wewe ni mwanaume.
Wewe nae acha hizo,msafi asiye na heshima wa nini?Hata kama ni kinyume na namba 7?
Shauri zako,subiri jamaa aseme akakupakue ndio ujue kama ni Male kweli ndio utashika adabu.Huyo ni She-Male
Ukizikosa ndo utaelewa kama bonus ama ni nnHela ni bonus..... mwanaume mwenyewe hela ni bonus....
kula uliweNikupe mpesa ama Tigo pesa teh teh teeeh me napokeaga tu usitegemee marejesho.
Hapo kwenye nisitegemee mrejesho unamaanisha NITENDE WEMA NIENDE ZANGU SIONikupe mpesa ama Tigo pesa teh teh teeeh me napokeaga tu usitegemee marejesho.
Kwani binadamu ni chakula?????kula uliwe
Akiwa na zote ndo bomba.Kwa wasio jua mwanamke ni mtu wa ajabu sana anaweza ku fall in love kunako sehemu asio tegemea. Yupi kati ya aina hii ya wanaume una penda sana kuaa nae au ungependa kukaa nae na ukawa happy.
1. Mpole
2. Mkimya
3. Mcheshi
4. Mjanja
5. Mwenye msimamo.
6. Mkali / mkorofi
7. Msafi
8. Muelewa
9. Anae jiamini
10. Mwenye heshima .
Sharti: chagua moja tu, au sifa moja tu.
Kumbuka sio wanaume wote wenye sifa hizo kuna wengine ni hopeless kabisa.