Ni yupi chaguo la Kikwete?

Ni yupi chaguo la Kikwete?

1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?

2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?

3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?
Chaguo pekee la JK ni wawekezaji.
Yupo tayari hata Urais aubinafsishe kwa wawekezaji jinsi baba huyu anavyowapenda wawekezaji.
 
JK is too bright to pick Benard Membe kwani anajua hana maamuzi magumu(ingawa yeye mwenyewe hakuwa nayo), nor picking Makongoro Nyerere kwasababu anajua hatakuwa salama, so we are just left with Lowassa ambaye anajua atamllinda kama naye ambavyo hakumwajibisha katika ufisadi wake mf. sakata la Richmond!

Nakubaliana na wewe. Isitoshe, wawili hawa wametoka mbali pamoja, hawajakutana barabarani na kubwa zaidi, waliahidiana kusaidiana ili mwisho wa siku wapokazane Ikulu
 
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?

2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?

3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?

Una maana mke au?mwanaume anaweza kuchagua mwenza tu sasa sijui ndo una maanisha!!!!
 
Makongoro Nyerere the next President "Clean, Obedient, Hardworker, listener and for the people by the people"
 
chaguo la watanzania ni dr Slaa kwa ukawa na CCM ni Lowassa hakuana mwingine anayeweza kuzuiA hicho kimbunga
 
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?

2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?

3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?

does it matter who JK prefers? don't think so.
refer Ben and Kigoda.

after all, dalili tarayri zinaonyesha kuwa wananchi mwaka huu wameamua kuupiga chini ukoloni wa mtu mweusi
 
kikwete anamtaka rais atakaye pitishwa na ccm awe na uwezo wa kuwaunganisha watanzania na wanachama waccm sio kuwagawa kimatabaka ,asiyependa urafiki husiokuwa na tija kwa masiki mchapakazi na mwenye uwezo wa kujenga hoja na watanzania wakamkubali .
 
Chaguo la Mhe. ni Mwanamke ndo maana hata Membe ameanza kujikomba kwa akina mama ... Mungu Ibariki Tanzania ... Mungu Mbariki Lowassa ...
 
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?

2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?

3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?

Tanzania haiitaji rais anayepedwa na wengi bali rais mwenye uwezo wa kuingoza tzn kuitoa mahali ilipo kuipeleka inapotakiwa kwenda.na huyo ni MAGUFULI peke yake.
 
Umenena mkuu
 
Kikwete anaangalia upepo, hajamuandaa mtu yoyote; na huo ndio udhaifu wake.

Vv
 
Chaguo la Kikweti haliwezi kutufaa kwa kuwa yeye mwenyewe hakutufaa.Period.
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?

2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?

3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?
 
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?

2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?

3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?
Kuna mtu humu anaitwa Lizaboni, just ignore him,do not waste your time! Huyu is not objective yeye ni CCM basi haoni zaidi ya hapo! I hate him, ona alivyoweka comment kwako! Anamsemea JK.. eti hana mtu

mtu humu
 
Back
Top Bottom