Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,597
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?
2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?
3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?
Mbona unauliza swali halafu unajijibu? Au Kuna Kikwete mwingine siyo wa hapo kwenye red?1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?
2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?
3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?
Mkuu kikwete anamtaka mdogo wake...Membe....na hapa ndo kazi ya Ukawa itakapokuwa rahisi sana.
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?
2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?
3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?
1. Je ni Lowassa? Rafiki yake mkuu aliyemsaidia kuingia ikulu mwaka 2005?
2. Je ni Bernard Membe anayepigiwa upatu na familia ya Kikwete?
3. Je ni Makongoro Nyerere asiye na makundi ndani ya chama wala kashfa za ufisadi?
​Umenchekesha sana,ndo unaikwepa Cybercrime Act,2015?Kama UWAMA ina mafungamano/mahusiano yoyote na Kikwete basi mgombea wa Kikwete Bearnard Membe
Za kuambia changanya na za kwako!