kafanana na Dr shikaAcheni kumwonea wivu mchunga kondoo.
Mpaka mnaedit video. Watanzania acheni hizo aiseeh.
Nb: Huyo pembeni ni mkewe sio bodyguardView attachment 1092029
Naikataa hii Mkuu sababu wapo Me wana wake wenye hizo tabia na mionekano mizuri ila bado wanachepuka.
Nionavyo hii ni hulka tu ambayo Me wengi wanayo.
Ndioo. ๐๐๐๐๐๐
Ndioo. ๐๐๐
Uyu ndiyo mke wa mzee? Kauzu balaa
Hapo hata awe nani hawezi akaacha kuchepuka.Hapo hawezi kunyosha njia atapita njia ya pembeni tu " njia ya mchipuko"
Wanawake wabaya tuna uvumilivu sana
Naunga mkonoNaikataa hii Mkuu sababu wapo Me wana wake wenye hizo tabia na mionekano mizuri ila bado wanachepuka.
Nionavyo hii ni hulka tu ambayo Me wengi wanayo.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kuna mjadala huku kwenye maktaba yetu ya picha kama hiviView attachment 1092338
Naamuniutafiti tu wa macho naimani ajaniona kupitia humu kwa id fake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mungu anakuona bro. Teh!