Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
Hakuna Mwanamke mbaya Dada sisi Madoda ndiyo tunajuwa.Wanawake wabaya tuna uvumilivu sana
[emoji849][emoji849]Wanawake wabaya tuna uvumilivu sana
Kuna mjadala huku kwenye maktaba yetu ya picha kama hiviView attachment 1092338
Naikataa hii Mkuu sababu wapo Me wana wake wenye hizo tabia na mionekano mizuri ila bado wanachepuka.Ana bonge la pengo ***** Gwajima anastahili kula kichuri nje.
NB:INASHAURIWA UOE MWANAKE UTAKAEVUTIWA NAE BOTH KITABIA NA MUONEKANO ILI IKUSAIDIE KUTOKUWA NA HAMU YA KUCHEPUKA.
Naikataa hii Mkuu sababu wapo Me wana wake wazuri kuliko kawaida ila bado wanachepuka.
Nionavyo hii ni hulka tu ambayo Me wengi wanayo.
Ndio tunadadavuadr shika ni shemeji wa gwajima
Kuna mjadala huku kwenye maktaba yetu ya picha kama hiviView attachment 1092338
Hahaa hahaaa dah !!!Acheni kumwonea wivu mchunga kondoo.
Mpaka mnaedit video. Watanzania acheni hizo aiseeh.
Nb: Huyo pembeni ni mkewe sio bodyguardView attachment 1092029
HahaaKuna mjadala huku kwenye maktaba yetu ya picha kama hiviView attachment 1092338