Ni wivu au kushindwa kujiamini?

Am grateful, all the best to u 2,i hope life treats you well after all this.:playball:

halafu na wewe........ angalia,
vya watu vina madhara mama, shauri yako,
usije sema sijakwambia!
 
images

THIS IS WHAT MAKES ME EVEN MORE CRAZIER...

Thanks lv.....:playball:
 
halafu na wewe........ angalia,
vya watu vina madhara mama, shauri yako,
usije sema sijakwambia!

Ulivyokuwa unanitaka,hukujua vya watu vina madhara???

Leo nimerudiana na my lv wangu ndo unajidai eti usije sema sikukushauri....

Get a life......
 
Ulivyokuwa unanitaka,hukujua vya watu vina madhara???

Leo nimerudiana na my lv wangu ndo unajidai eti usije sema sikukushauri....

Get a life......

mmmh,
mi simo mama,
isitoshe yetu yameshaisha!!!
sitaki matatizo mie!
Na uzuri mimi sinaga wivu!!!!!
 
Back
Top Bottom