GENIOUS - LEADER
Member
- May 9, 2015
- 16
- 4
Ndg wana jamvi, tukiacha ushabiki wa vyama na kujielekeza katika uhalisia ni wazi kwamba jimbo la isimani limeiva kwa upinzani(ukawa) endapo tu watazichanga karata zao vyema. baada ya tathmini ya kina ni dhahiri ya kwamba Widman Masika ndiye anayeelezwa kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi.
Pamoja na mabadiliko kidogo ambayo pengine wananchi wenyewe wamejiletea ni dhahiri kabisa mbunge aliyopo ameshindwa kukidhi haja, kiu na matamanio ya wana isimani.Sisi wapenda mabadiliko tunamwamini na kumtakia kila la kheri bwn, WIDMAN MASIKA katika kuufanikisha ukombozi wa wana Isimani.