uhalisia ni kuwa shule nyingi za serikali hazina walimu wabobezi wa sayansi, hasa shule za kata. unategemea nini kutoka shule kama hizo ambapo hata ukimwuliza mwanafunzi wa kidato cha 4 akuchoree mchoro wa bunsen burner au amoeba hajui... tusitegemee miujiza from nothing, yaani unataka uvune wakati hujapalilia shamba. nadhani ni muda mwafaka wa serikali na kuwekeza kwenye sayansi