Ni wapi wanakoboa mahindi kuwa unga wa sembe na kufunga (packaging)?

Ni wapi wanakoboa mahindi kuwa unga wa sembe na kufunga (packaging)?

Shebbydo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
1,174
Reaction score
1,937
Wakuu habari,

Kama heading inavyojieleza.

Ninaomba kujuzwa na aliye na ufahaumu wa taratibu za kukoboa mahindi kuwa sembe pamoja na kuufungasha. Naomba kujua ni wapi inafanyika kazi hiyo ikibidi na gharama zake kwa hapa Dar. Je, pia kuna ulazima wa kuziona mamlaka kama vile TFDA na TBS?

Natanguliza shukrani zangu.
 
kwa hapo dar mara nyingi huwa wanakoboa mashineni
 
Tembelea Kitunda kuna sehemu mbili tatu niliona wanafanya hizo shughuli
 
Eleza unachohitaji sio kujizungusha zungusha mkuu.
 
Back
Top Bottom