Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Nov 29, 2012 #1 Wakuu salaam sana ,niko mwanza mjini nina akina mama kama kumi ambao muda wao wa kazi ni finyu sana ila wanahitaji kujiunga na chadema na wameniomba niwanunulie kadi za chadema,naombeni msaada huo
Wakuu salaam sana ,niko mwanza mjini nina akina mama kama kumi ambao muda wao wa kazi ni finyu sana ila wanahitaji kujiunga na chadema na wameniomba niwanunulie kadi za chadema,naombeni msaada huo