Nilinunua radio ( home cinema) zamani kidogo kwenye mwaka 2007/9 kupitia ndugu yangu aliyekuwepo Africa ya kusini na kuileta hapa nyumbani.
Bahati mbaya vibaka walivunja na kuiba hiyo radio na kuniachia subwoofer yenye namba za udahili subwoofer model micro 1500dssw.
Nilikuwa nahitaji radio hii ikiwa full, naambatisha na picha zake hapa chini. Kwa mtu ambaye anawezakunisaidia upatikanaji wake naomba msaada wake tafadhali.
Eh bana siko familiar nayo ila inaonekana ni brand ya kijapani! Sema tu kwa sasa kampuni imeuzwa kwa muhindi ndio anafyatua hayo ma products maybe uitafute mitandaoni huko