Sometimes uwe na adabu basi sawa? Nitakuchenjia sasa hivi! Utawafanya Watu waamini kuwa na Mimi ni Mwana Area C wakati ukweli ni kwamba sihusiki nao kwa lolote au chochote na hizo Karate zenyewe huwa naziona tu kwa akina Bolo Yangu na wenzake.
Si useme kama "uliuza"(little joke)...! Mikwara yote ya nini...!? Siku hizi hunitishi....nishajua mitego yako zaidi ya asilimia 90! Zamani sawa nilikuwa nakuotea mbali hasa baada ya kuninasua kwenye mtengo ambao nilikuwa naelekea kukanyaga!
=====
Kama haujihusisha nao sawa. Mchana mwema, kumradhi!
Nimependa Kiingereza chako Mkuu kwani kimeonyesha kabisa ushirikiano na Mwalimu wako aliyekufundisha na Shule uliyosoma. Shikamoo Waziri Mama Ndalichako!