Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

hao wanaopasha miili yao ni kick boxers sio karateka.
Samahani, naona hujanielewa pale kuna michezo mingi, kuna body builders, kuna karate, kuna volleyball, kuna dhumna pia kuna drafti. Hao watu wa kick boxers sijawahi kuwaona eneo hilo.
 
Mkuu kwann wacheza karate wengi wachafu wachafu mno,,wapo rough ,,,,,
 
Ni sehemu gani ndani ya mkoa wa Dodoma kuna 'dojo' nzuri kwa ajili ya mafunzo ya Shotokan Karate?

Msaada tafadhali..
Mkuu kuna sehemu umeyatinyanga nini na ukatishiwa kuwa utavurugwa au kuna mbabe mmoja amekurudi kwa hiyo wataka kurevange? Ila michezo ni dawa na afya lakini pia hawa panyaroad siku hizi hawana adabu hivyo ukiwa vizuri mbona wanakimbiana huku wanalia wenyewe!
 
Nenda NK uanzishe timbwili utaona watakavyokufunza
 
Hujui nidhamu wanayofunzwa wacheza karate ndugu yangu....mcheza karate hawezi kuwa mgomvi....na hakimbilii ugomvi kwa karate yake..mcheza karate anafunzwa kuepukana na ugomvi....kuhakikisha ugomvi baina yake hautokei....na ukitokea kuna mtu ataumia.
 
[emoji3]
 
Well said mkuu shukrani sana...Hiyo ndo karate
 
Ungekua moshi mkuu ningekuelekeza mahali ambapo nilipata black belt yangu dani ya 2
Oss! mkuu hongera
Samahani, naona hujanielewa pale kuna michezo mingi, kuna body builders, kuna karate, kuna volleyball, kuna dhumna pia kuna drafti. Hao watu wa kick boxers sijawahi kuwaona eneo hilo.
 
Nadhani GENTAMYCINE ana club yake pale maeneo ya Area C, wasiliana naye!

Sometimes uwe na adabu basi sawa? Nitakuchenjia sasa hivi! Utawafanya Watu waamini kuwa na Mimi ni Mwana Area C wakati ukweli ni kwamba sihusiki nao kwa lolote au chochote na hizo Karate zenyewe huwa naziona tu kwa akina Bolo Yangu na wenzake.
 
Hapo nimewahi kwenda nkaona wanarukaruka Tu nkaamsha..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…