Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

Tafita wajamaa flani wanavaa suruali fupi,wana ndevu wamezipaka rangi kama kinyesi cha kobe,na wana andika kuanzia mwisho wa dadtari kuja mwanzo,watakulengesha japo najua RC kapiga maruduku huo mchezo kwenye hayo mahekalu ya Baali
 
ha ha ha ww mchokozi ngoja waje wenyewe
 
hivi iringa maeneo ya wapi wanafundisha karate maana nimetafuta sijapata eneo
 
Mkuu nimekuelewa, thank you
Wale wazee wanaocheza dhumna huwa tunawatembelea sana pindi tuwapo Dodoma, ila pembeni jioni kuna Mzee Alli Kuku, huyu ni almaarufu kwa kuchoma kuku. Kuku wake ni balaa!!
 
Mkuu nilikuuliza tu ada zao zikoje
kuna form unaenda kuchukua unaijaza na kuirudisha then ndo unakua umepata acess ya kuanza mafunzo.
Bei ya form na ada ya miezi mitatu haizidi 20000...kama sikosei form ni 10000 afu 10000 ada ya miezi mitatu.
Ila ukienda utapata maelezo ya kutooshaa.
 
Ahsante kaka, nimekuelewa vyema sana.
 
Vipi mkuu kuhusu umri wengine tupo kwenye 30s haitosumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…