Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

Je wewe ni Mbuge? Unataka kupiga karate wabunge wa Chama cha Magu?
 
Ni sehemu gani ndani ya mkoa wa Dodoma kuna 'dojo' nzuri kwa ajili ya mafunzo ya Shotokan Karate?

Msaada tafadhali..
Kilimani club mkuu ndo suruhu la tatizo lako kuna walimu professional Wa shotokan ulizia Vennace atakuweka sawa ukitoka hapo kama shokoguki mkuu.
 
Achana na karate, Fanya mazoezi ya chuma full,piga na skwati uzito had wa kg 140 au Mia na 20__ kimbia ukipata muda pia,,, ni self defense tosha ambayo haitaji urushe ngumi kamwe wala hutochokozwa, kwa muonekano wako tu wa mwili wajinga wajinga watakurespect ukiwa viwanja, , Tatizo la karate unakuwa mgomvi mno,na sababu ya kuwa mgomvi kutokana wewe utajiamini kuwa upo fit utokubari MTU akudharau, na mpaka msera aje kujua kuwa were upo fit kimazoezi,either ushaumia au umemuumiza MTU,, wakati ukipiga chuma na skwati kwa Sana za kibabe,appearance yako tu ya mwili,inatosha MTU kukuhofia, ,,karate mwili unapwililika na unakuwa Kama skeleton ,
 
Cuzame bungenii kuleee mipashoo vijembee na purukushan za hapa na palee. Umekulia wap wewe mpaka leoo unatafuta self defence. Ctuliokulia Dodoma chag'ombe hata hatuwazii hayoo mashotokani wala makulia kani ila zingua tifuu lake utaomba pooo
 
Tafuta cha moto Mkuu!
Cha moto wanauawa wakiwa nacho mkalioni! Hukusikia Dr. Mvungi? Kara-te unamvunja mtu bila kutarajia! Usijidanganye eti kwa vile una cha moto ndo una ulinzi!!
 
Nenda Mjengoni halafu uwe mbishi wakati huo awepo fujo kitini utaisoma namba na wazee wa kutuliza hawa watakufundisha vizuri sana hadi nje ya mjengo.
 
Ni sehemu gani ndani ya mkoa wa Dodoma kuna 'dojo' nzuri kwa ajili ya mafunzo ya Shotokan Karate?

Msaada tafadhali..

nenda pale viwanja vya Bunge , ingia bila kupiga hodi ni free kabisa
 
Unaweza ukawa na huo mwili wako kama nyumba na ukachapika vizuri tu.Karate of course ni sanaa ya ulinzi binafsi na sio kwenda kupigana na watu hovyo hovyo.Inakufunza discipline na heshima kwa kila mtu.Karate ina nguzo zake 6 ambazo humuongoza karateka katika maisha yake ya kisanaa
For more details utanitafuta nikupe darasa kuhusu MARTIAL ARTS
 
Cuzame bungenii kuleee mipashoo vijembee na purukushan za hapa na palee. Umekulia wap wewe mpaka leoo unatafuta self defence. Ctuliokulia Dodoma chag'ombe hata hatuwazii hayoo mashotokani wala makulia kani ila zingua tifuu lake utaomba pooo
Mkubwa mimi nimekulia chang'ombe na bado naendelea kukaa chang'ombe of course vijana wa chang'ombe nawajua A-Z so KARATE has nothing to do with ugomvi na fujo kama hizo ambazo mimi mwenyewe nishazizoea
 
Mkuu hapo wanafundisha wanaoanza pia(beginners)?
Ratiba zao zikoje na ni bei gani?
Yap unafundishwa na unakwiva.Pale wenyewe wanafundisha Goju ryu karate do.
kuhusu ratiba yao ni kila siku asubuhi na jioni kasoro jumapili tu.
 
Yap unafundishwa na unakwiva.Pale wenyewe wanafundisha Goju ryu karate do.
kuhusu ratiba yao ni kila siku asubuhi na jioni kasoro jumapili tu.
Mkuu nakushukuru kwa kunijibu, ngoja niende, ni muda mrefu sana nimependa kujifunza hii sanaa ya mapigano
 
Dodoma Community Centre siku hizi panaitwa Mambo Poa pali lipo dojo.
Mkuu Dodoma community Centre ni maeneo gani katika mji wa Dodoma. Wengine ni wageni mji huu lakini tungependa kwenda mafunzoni
 
Cuzame bungenii kuleee mipashoo vijembee na purukushan za hapa na palee. Umekulia wap wewe mpaka leoo unatafuta self defence. Ctuliokulia Dodoma chag'ombe hata hatuwazii hayoo mashotokani wala makulia kani ila zingua tifuu lake utaomba pooo
Inaonekana unaijua sana Majaribio Gesti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…