Ni Wapi Naweza Kupimwa IQ Yangu?

Nenda Lugalo au Msangani kambini halafu watukane baada ya muda mfupi utapata jibu la IQ yako ipo ngapi...
 
Nimeingia kwenye link Mimi hats cha Kingereza sijaangalia ila kwenye true na false nilifuata tu mkono nkakuta no 50 IQ kweli huu no ujinga
 
Nimeona majarida mengi na mashirika mengi ya utafiti yakitoa takwimu za watu wenye IQ kubwa duniani.

Hivyo basi inaonyesha kipimo maalum cha IQ kipo.

Naomba kujuzwa hiki kipimo nitakipata wapi ili nijue IQ yangu?
Muulize Infantry Soldier.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…