Hello Wadau wa Jamii Forum,
Natumai mko poa,ningependa kufahamu kwa yeyote anayefahamu ni sehemu ambayo naweza shiriki YOGA .
So far nimepata moja amabayo iko Haile Selassie.
Nahitaji machaguo kadhaa kabla sijafanya maamuzi
kwa yeyote mwenye kufahamu ama mwenye uzoefu na YOGA tafadhali usisite kunifahmisha .
Ahsante