Ni wapi kuna soko la mmea aina ya Rosemary

MOOSHEKY

Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
8
Reaction score
1
wakuu kwa mwenye kujua wapi nawezakupata soko la uhakika la mmea ambao hutumika kama tiba na viungo vya nyama na mapishi mbali mbali unaotambulika kama ROSEMARY PLANT....natanguliza shukran
 
kama unauprocess mfano (kuusaga) kwa dar kariakoo yale maduka ya viungo pengine unaweza pata wateja
 
Back
Top Bottom