TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Wakati Serikali ya Magufuli ilipozuia Matangazo ya Moja kwa moja ya Bunge kupitia TBC. Wakatumia hila na hadaa, mojawapo ya hoja zao ilikuw ni kwa njia ya swali, Pm Majaliwa alihoji apewe mfano wa Nchi Duniani ambapo Bunge linarushwa moja kwa moja. Nikajibu Marekani kupitia CSPAN1 -3
Sasa mimi ninaswali kwao Leo Ni nchi gani Kati ya Nchi za Kidemocrasia ambapo Rais ni Mwenyekiti wa chama Tawala? Na msiniletee mifano ya China na Korea ya Kaskazini maana hawana Demokrasia.
Kama jibu hakuna mimi nashauri Kikwete au Mtu mwingine imara Kama Mkapa, nk wawe mwenyekiti wa CCM, maana nafikiri pamoja na kupambana na Rushwa Mh. Magufuli ni kati ya wale watu Wanoko, Mwingine akiumia au kuathirika yeye anapata kauroda. Na kama jambo litampa Sifa hajali kama jambo hilohilo limemtoa mtu Machozi ya Damu. The people with this condition are called Schadenfreude they should always be under somebody or a system which can keep them in check else they will cause misery to many.