si dar peke yake popote pale ambapo mwanaume anaporidhia majukumu ya kifamilia yatimizwe na mkewe, hayo ndio mavuno yakeHivi ndiyo maisha ya wanaume wa Dar haya?
Huyu kaka tulisoma wote na kumaliza pamoja darasa la saba. Tumekutana tena kwenye kijiji cha wavuvi soko la Kisutu, kwakuwa siku ile nilikuwa na haraka tuliweza kubadilshana namba simu.
Huyu kaka anaishi na girlfriend wake yeye hana shughuli maalumu, haya niliyagundua baada ya kunipigia simu na kuongea na kukaribshwa nyumbani. Wifi yangu ni changu na ajajiuza kwenye mahoteli makubwa, wateja wake wengi ni wazungu na kule anawaambia yuko single.
Kisa cha kuleta habari hii hapa ni kuwa swahiba amenipigia simu amechanganyikiwa, wifi amerudi kutoka kazini na engagement ring, kuna mzungu amefika bei anataka kuchukua jumla.
Nyumba wanauoishi ni ya urithi ya wifi aliachiwa baada ya wazazi wake kufariki na ndugu zake wametayanyika, DSM yuko mwenyewe.
Hivi ni wanaume wangapi wangeweza kuishi maisha haya?
Achilia mbali kuweza!!Huyu kaka tulisoma wote na kumaliza pamoja darasa la saba. Tumekutana tena kwenye kijiji cha wavuvi soko la Kisutu, kwakuwa siku ile nilikuwa na haraka tuliweza kubadilshana namba simu.
Huyu kaka anaishi na girlfriend wake yeye hana shughuli maalumu, haya niliyagundua baada ya kunipigia simu na kuongea na kukaribshwa nyumbani. Wifi yangu ni changu na ajajiuza kwenye mahoteli makubwa, wateja wake wengi ni wazungu na kule anawaambia yuko single.
Kisa cha kuleta habari hii hapa ni kuwa swahiba amenipigia simu amechanganyikiwa, wifi amerudi kutoka kazini na engagement ring, kuna mzungu amefika bei anataka kuchukua jumla.
Nyumba wanauoishi ni ya urithi ya wifi aliachiwa baada ya wazazi wake kufariki na ndugu zake wametayanyika, DSM yuko mwenyewe.
Hivi ni wanaume wangapi wangeweza kuishi maisha haya?
Sasa huyo jamaa kaowa au kasitiriwa? Uanaume ni shughuli pevu siyo tu kuning'iniza mbupu.Siku nyingine semi anadudwa na mabwana au machangu wenzake katika mawindo akirudi myumbani jamaa anauguza
Huyo jamaa na yy ni takatakaSiku nyingine semi anadudwa na mabwana au machangu wenzake katika mawindo akirudi myumbani jamaa anauguza
You're too smart for this sh!t. Na wewe unafanya haste generalizations kama "wanaume wa Dar"?Hivi ndiyo maisha ya wanaume wa Dar haya?