technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Unafiki wa waandishi wa Tanzania vibaraka wa wazungu ndio utauona hapa Sasa.
Watu Kama kabendera sasahivi yupo kimya kwa sababu maslahi yake hayajaguswa!!
Kabendera yanayotokea hayaoni hata kuandika Habari za uchunguzi juu ya utekaji kimya
Yule jamaa aliyetekwa buza Yuko wapi mpaka leo? Ila kabendera kimya
Nashauri atoe in the name of president part 2 kama sio mnafiki!!