voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
- Thread starter
- #21
Mkuu!Anzisha chama mkuu ufanye haya yote lazima utachukua nchi. Au ww huna uthubutu wa kuanzisha chama, lakini una ushauri tu?
Mimi ninatumia haki yangu ya kikatiba.kutoa maoni kama Raia.(Freedom of speech)
Siasa ni sehemu ya maisha yetu wananchi lakini sio lazima wote tuishi kwa kuifanya siasa kuwa sehemu ya ajira au kujipatia kipato.
Mimi ninayo sehemu rasmi kulingana na tasnia yangu.Na kutokana na hiyo tumeweza kujikimu mimi na familia yangu kwa muda wote.
Nashukuru Mungu kwa uwezeshaji wake.