Ni wakati muafaka sasa Rais Magufuli atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yake

Kubadili buku kuwa sarafu inamaana uchumi umeshuka
Uchumi uko imara na ukizingatia nguvu ya buku kwa awamu hii ya tano buku za note zimechoka sana fanya utafiti utajua

Sasa JPM abadili iwe sarafu yenye picha yake hizi habari za kila ela kuweka wanyama sisi sio wamang'ati
 
Huu ndio muda muafaka Rais kipenzi cha watanzania umshauri Gavana atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yako.

Hii itaipa nguvu buku watu wanaiheshimu sasa
Pia itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo

Nawasilisha
Kwamba ashike nafasi ya Nyerere!!, ok, sijui wakati unaandika unawaza nini!
 
Uchumi uko imara na ukizingatia nguvu ya buku kwa awamu hii ya tano buku za note zimechoka sana fanya utafiti utajua

Sasa JPM abadili iwe sarafu yenye picha yake hizi habari za kila ela kuweka wanyama sisi sio wamang'ati
Labda ile yenye mkungu wa ndizi
 
Huu ndio muda muafaka Rais kipenzi cha watanzania umshauri Gavana atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yako.

Hii itaipa nguvu buku watu wanaiheshimu sasa
Pia itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo

Nawasilisha
Rubbish.Vuvuzera la Lumumba
 
Mkuu we hujui nguvu ya awamu ya tano
Hata Mwinyi kakiri hawakufanya kitu
Sasa subiri tumshauri JPM then uone
Hawezi kupokea ushauri wa kipumbavu kamwe,msimchukulie poa kwa vile mnapigia mapambio ya kumsifu ndiyo awasikilize watu msio jitambua. Anawachora tu anajua mnatafuta kuteuliwa.
 
Uchumi uko imara na ukizingatia nguvu ya buku kwa awamu hii ya tano buku za note zimechoka sana fanya utafiti utajua

Sasa JPM abadili iwe sarafu yenye picha yake hizi habari za kila ela kuweka wanyama sisi sio wamang'ati
Nyie kabila yenu ni wakuda.
 
Kila mmoja angetoa sarafu inapicha yake si sarafu zote zingekuwa na sura za binadamu wanaongoza nchi tu.
 
Hawezi kupokea ushauri wa kipumbavu kamwe,msimchukulie poa kwa vile mnapigia mapambio ya kumsifu ndiyo awasikilize watu msio jitambua. Anawachora tu anajua mnatafuta kuteuliwa.
Kiteuliwa kwenda wapi au kufanya nini
Siku ukianza kitumia ndio utajua mapambio au ngonjera
 
Back
Top Bottom