Ni wakati muafaka sasa Rais Magufuli atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yake

mogulnoise

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
2,434
5,535
Huu ndio muda muafaka Rais kipenzi cha watanzania umshauri Gavana atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yako.

Hii itaipa nguvu buku watu wanaiheshimu sasa

Pia itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo

Nawasilisha
 
siyo muhimu ,siyo kipao mbele , siyo jambo LA lazima ,, siyo kila kitu
 
Mbona kuna sarafu ya mwinyi au hujui hamsini ile picha ni ya nani
Jiulize Mwinyi awamu ya ngapi na kwa nini apewe hamsini na sio 2000?
Toka enzi ya mkapa Hakuna kuweka sarafu ya Rais ni ya wanyama tu
Ikija sarafu nyingine wanaweza kumweka nyati au chui
 
Huu ndio muda muafaka Rais kipenzi cha watanzania umshauri Gavana atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yako.

Hii itaipa nguvu buku watu wanaiheshimu sasa
Pia itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo

Nawasilisha
Hii itakuwa na tija gani kwa taifa?
 
Jiulize Mwinyi awamu ya ngapi na kwa nini apewe hamsini na sio 2000?
Toka enzi ya mkapa Hakuna kuweka sarafu ya Rais ni ya wanyama tu
Ikija sarafu nyingine wanaweza kumweka nyati au chui
Mkuu we hujui nguvu ya awamu ya tano
Hata Mwinyi kakiri hawakufanya kitu
Sasa subiri tumshauri JPM then uone
 
Back
Top Bottom