Ni wakati kaa kwa tahadhari

NUHWAHI

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
304
464
1. Vita ni vingi, vya Kikabila, Kidini, Kimataifa... Hakuna amani duniani, nchi inayosema ina amani si amani bali ni utulivu

2. Njaa ni Kali, vyakula vinazalishwa kwa wingi ila vinatumika kutengenezea vitu visivyotibu njaa viwandani, watu wanakufa kwa njaa

3. Magonjwa. Haya hata nisiseme... Teklonolojia ipo juu ya kuuana ila kutibu magonjwa inafeli..

4. Majanga ya asili, moto, tsunami, vimbunga, na matetemeko ni ya rekodi ya juu

5. Manabii.. Hawa wote ni feki, ndio mpaka huyo ni feki. Mwambie adhibiti moja kati ya hayo manne hapo juu.. wamechipuka zaidi ya uyoga.

Pitia Al jazeera ujionee mwanzo wa uchungu.

DUNIA SASA inakwenda kubadili historia, aina viumbe na namna ya viumbe. Kumbuka wakati Noa, sodoma, ww1, ww2 na sasa ni mwanzo kuelekea Harmagedoni.

Screenshot and save
 
Kawaida tu,kama ilivyokuwa majira ya mwaka katika maeneo,kwani vita ni jambo geni!?vp kuhusu vita ya kwanza!ya pili je?uvamizi wa marekani?tsunami?
 
Kila aina na muundo wa serikali imeshindwa kutawala na kuleta amani,,, Ujamaa, udikteta, demokrasia,, zote zimefeli kuleta amani.. Teknolojia zote zinazidisha vifo badala ya kuokoa... Pesa, pesa, pesa ndo Catalyst ya yote...

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVIL
 
Back
Top Bottom