Isipokuwa bashite na sizo!Sheria ni msumeno una kata kote kote, hakuna ambaye yuko juu ya sheria
Kumbuka viongozi wanaochaguliwa kwa mujibu wa katiba hutawala kwa miaka mitano tu baada ya hapo lazima wapigiwe tena kura.kwa hiyo lazima wajifunze kutenda haki. Vinginevyo baada ya muda wao kwisha itakuwa ni Majuto mjukuuCku zinakuja hataa alie mkuu zaidi nae atanyooka!..tuheshimiane jamani,kila mtawala atakaekuja akiamua kufanyia wenzake waliopita hivi itakuaje?hakika cku zinakuja,kila mtu atavuna alichopanda
Lowassa alivyokuwa anatuibia alituheshimu?
Huu ndo utawala unaompendeza Mungu.Nyie mnaodai kuheshimiwa wakati mnatenda yanayofanya binadamumuwaone kama kenge wakati mnatumia kodi na raslimali zao bure kwa vile mna madaraka mwisho kwenye milango ya nyumba zenu.Ukishatoka nje ya nyumba yako ujione sawa na wenzako.Ahsante Mungu kwa kumleta Rais huyu.Cku zinakuja hataa alie mkuu zaidi nae atanyooka!..tuheshimiane jamani,kila mtawala atakaekuja akiamua kufanyia wenzake waliopita hivi itakuaje?hakika cku zinakuja,kila mtu atavuna alichopanda