si unajua formula ya kunyonyolea kuku?chemsha maji ukalie,au tafuta jacuzzi japo itachukua muda.kama huwezi ku-afford tafuta rice cooker,ijaze maji,washa kisha ukalie,yatapungua taratibu,fanya hivyo kwa masaa mawili daily,kwa siku 8.
NB;paka poda kabla na baada ya remedy hii